Simba/Kiyovu Live update!

OKWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII. Simba 2
 
IMG_0053.jpg

Kutoka Michuzi
 
Nawatakia mabaya simba. Siipendi kwa dhati toka moyoni.Wafungwe
Mkuu hata kama hupendi mvua lakini uwezo wa kuzuia huna inabidi uwe mpole tu ikunyeshee, kama vipi uingie ndani usubiri ikatike utoke ukanyage matope.
 
Watakuwa wamezificha chini ya viti now,ila leo sijaona huo wehu wa kukosa uzalendo.

Hujaona wehu wa kukosa uzalendo, mkuu? Subiri Simba wafungwe ndipo utakapofahamu kwamba Kiyovu wamesafiri na washabiki wako toka Rwanda!haha
 
mbona kiyovu yenyewe kama villa squad?. hii ikikutana na yanga yanga itashinda goli 5 bila.
 
huyo Okwi inabidi yanga tumnunue kabla wakina boban hawajamuharibu. Ntaongea na Nchunga.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom