vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,123
- 5,846
Kwa msimu huu ama kwa misimu ya ujumla?Yaani mtu kashasema timu bora tanzania ngazi ya CAF halafu watu wanakaza mafuvu kusema kina mamelod pramidi kwani wapo tanzania?