Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,329
- 23,259
- Thread starter
- #21
Hakuna yanayokuja mapya zaidi ya kuwafunga tu
Wewe umepona na banHizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA...
SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
Wewe umepona na ban
Vipi Kamanda, Mods walikupiga BAN ya masaa mangapi!!Yanga akimfunga simba nipigwe ban
Masaa matatuVipi Kamanda, Mods walikupiga BAN ya masaa mangapi!!