Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,901
- 6,224
Muda ni mwalimu mzuri mkuu tusubiriHiyo avator na mawazo yako ni vitu viwili tofauti mkuu.
Mara nyingi umekuwa na Michango ya Kijinga isiyo na Maana hapa JF.
Leo umegeuka Mungu.
Sheck yahaya
Au mtabiri Tambitambi???????
Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa Mwili.
Muda huwa tunausubiri uamue wenyewe bila Kuusemea.Muda ni mwalimu mzuri mkuu tusubiri
Kutokana na kiwango kisichoridhisha cha hii timu ni dhahiri msimu huu hii timu haiwezi kuwa bingwa kwenye mashindano yoyote inayoshiriki. Kuna uwezekano mkubwa Yanga akatetea makombe ya Crdb confederation na cha ligi ya Nbc. Kombe la shirikisho Afrika wote tunajua kilichobaki ni kukamilisha ratiba tu, Berkane wameshalibeba.
Tungekuwa tunatumia nguvu hizi kupinga udhalumu hapa nchini tungekuwa mbali sana usimba na uyanga umefanya tumekuwa mazuzu tunasahau mambo ya msingiHiyo avator na mawazo yako ni vitu viwili tofauti mkuu.
Mara nyingi umekuwa na Michango ya Kijinga isiyo na Maana hapa JF.
Leo umegeuka Mungu.
Sheck yahaya
Au mtabiri Tambitambi???????
Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa Mwili.
Wapalestina nyumba zao zimegeuzwa vifusi ila huonyeshwa wakicheza mpira. Hata wakati wa ukoloni michezo ilikuwwpo,kila kitu na sehemu yakeTungekuwa tunatumia nguvu hizi kupinga udhalumu hapa nchini tungekuwa mbali sana usimba na uyanga umefanya tumekuwa mazuzu tunasahau mambo ya msingi
Mbayaa hii ujue na mjomba wako ni Simba muwe na adabu
ππ Jpili sio mbali mtani acha tuvute subiraMbayaa hii ujue na mjomba wako ni Simba muwe na adabu
Sawa mtani....malengo yetu tulishayatimiza kombe likija ni kama suprise tuu...mkumbuke hiloππ Jpili sio mbali mtani acha tuvute subira
Kila la kheri kwa team Tanzania...