Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Aiseehhh mtani huwa unanikoshaga na vulumai naona kama ushindi ni wetu idadi ya magoli tu ndiyo sijui
 
umeanza vzr umemaliza ovyo
 
Mimi ni shabiki wa Simba Sc. Lakini kila ninapo jaribu kupiga magoti kuiombea timu yangu ilipe kisasi kwa wale Waarabu , nasikia sauti inaniambia "Usimjaribu bwana mungu wako" basi , sasa nipo tayari kwa lolote kama Tundu Lisu alivyo sema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo juzi anajiliza timu inaendeshwa kwa hasara..huku anawadai 6 bilioni....mnaweza kumlipa za chini ya carpet anataka hati za majengo...ndio maana baadhi ya wazee walikuwa wanamtaka Bakhresa..Mo kibaka
Moo kwa sasa ni sehemu ya simba hisa zake ndani ya club ni 49% ni na 51% ni za kwetu wanchama,Na yeye ndio anayoihitaji simba zaidi kwa sababu zake za kibiashara kuliko sisi tunavyomwitaji yeye, brother simba ni brand kubwa Africa
 
Mkuu hii ni Africa tofauti yetu kwenye kandanda ni ndogo sana, ndomana js soura tulimpiga 3 kavu hapa taifa, lakini kwao kule akamsumbua al ahly huyu aliyetupiga 5 na almanisura amfunge sema referee aliwabeba, Why not asife hapa tanzania.
Mkuu dakika ya 45 simba sports club-0 Al ahly -1000000
 
Mwarabu kufungwa uwanja wa taifa anapocheza na simba sio kitu cha ajabu saaaana, labda kwa vijana walioanza kushabikia mpira hivi karibuni. Ni suala la Simba kujiamini na kuperform kwa zaidi ya 100% Mwarabu atakaa tu.
 
Mwarabu kufungwa uwanja wa taifa anapocheza na simba sio kitu cha ajabu saaaana, labda kwa vijana walioanza kushabikia mpira hivi karibuni. Ni suala la Simba kujiamini na kuperform kwa zaidi ya 100% Mwarabu atakaa tu.
Hakika umenena vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…