Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Kikubwa ni kuhakikisha game ya j soura tunapata point mmoja au zote tatu,tutakuwa tumejitengenezea mazingira mazuri
Simba iwe mvua iwe jua,wanatakiwa kupambana kupata ushindi dhidi ya AS VITA hapo Taifa. Kundi bado liko wazi sana kwa matokeo hayo. Safi sana,mara paaa,Simba robo fainali. Upande wa pili wanatokwa mapovu balaa. THIS IS SIMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom