Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
3,982
2,000
Simba leo tunapindua, matokeo, hakika tutawashangaza hatoki mtu Leo. kwa mchina ni machinjioni kwa yeyote anaye karibishwa tulianza na Swaziland mbane, akafuata nkana akaja mwarabu js soura toka Algeria,

Eee yarabi tunakuomba siku ya Leo, tusamehe pale pote tulipokosoea utusaidie tuweze kurudisha magoli yote, kama ulivyoweza kulisafisha jina la MAN CITY dhidi ya CHELSITA, tusafishe pia sisi zidi ya hao watoto wa farao....Amen.

Uyo Al ahly ndio nani???? Mpapaso square lazima umuhusu Leo.
IMG_20190212_125520_753.JPGWazee wenzangu wa jamvi mnyama ana oddz ya point 3, unaaza anzaje kuziacha sasa. Hii mechi ni ngumu kwa al ahaly ndomana kapewa oddz ya mbili, akili Ku mkichwa kila la heli mnyama


Updates
FT Simba 1 _ All ahly 0

Mpapaso umekalimika, kuna watu mnateseka uko?
 

blackcornshman

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
3,827
2,000
Wabongo tunajuwa mpira wa maneno tu,michezo tunayoweza kushinda ni ya majungu na ngono kama Bigbraza.fulltime Aly ahly -100000 Simba sports club- 0.
 

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
3,982
2,000
Wabongo tunajuwa mpira wa maneno tu,michezo tunayoweza kushinda ni ya majungu na ngono kama Bigbraza.fulltime Aly ahly -100000 Simba sports club- 0.
Mkuu hii ni Africa tofauti yetu kwenye kandanda ni ndogo sana, ndomana js soura tulimpiga 3 kavu hapa taifa, lakini kwao kule akamsumbua al ahly huyu aliyetupiga 5 na almanisura amfunge sema referee aliwabeba, Why not asife hapa tanzania.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom