Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Hajjat na wewe pia unakaribishwa kushudia utoaji posa wa kwa binti mrembo wa kiarabu jioni ya Leo, ndoa kamili ni wkend hii tarehe 16 apo apo taifa, kufika kwako kutafanikisha shughuli hizi mbili kikamilifu asante.
Hahahaaaa. Hapo mjipange kuwa kinyume chake Mkuu.
 
Ila sipati picha Mtavotujia na machungu baada ya hizi mechi, na tulivyowacheka kwa vipigo mlivovipata, sijui mtatuloga vipi safari hii, Mo anaweza kutoa hata milioni 500 uchawi ufuatwe Togo ilimradi mtupige
hahahahhaha kazi kweli kweli
 
Simba Leo anashinda 3 kwa 1
Makosa hayatajirudia Tena Leo kwa mchina

Shadeeya

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190212-WA0004.jpg
😁😁😁😁zimbwe Jr atatoa assist
 
Level yetu ilikuwa mwisho kwa Nkana huku juu ni bonus ya dodo chini ya mwarobaini . Tufungwe tusifungwe leo tutamlipiza mtu 16 Feb.
 
Level yetu ilikuwa mwisho kwa Nkana huku juu ni bonus ya dodo chini ya mwarobaini . Tufungwe tusifungwe leo tutamlipiza mtu 16 Feb.
Hasira zetu zote tutazimalizia tarehe iyo hakika kwa hawa ndala fc, Leo mwenzao ananyolewa wao waanze tia maji tu
 
Back
Top Bottom