Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Soura ashinde mkuu sare sio nzuri itambeba Vita

Sent using Jamii Forums mobile app
J soura akishinda atafikisha point 5, nayeye matumaini ya kufuzu yanafukuka na game ijayo tunacheza nae hivyo unaweza kutubania ili yeye afikishe pointi 8, kwaiyo aki draw game yake na yetu inaweza ukawa nzuri maana matumaini ya wao kufuzu yatakuwa yameshuka
 
Back
Top Bottom