Simba leo tunapindua, matokeo, hakika tutawashangaza hatoki mtu Leo. kwa mchina ni machinjioni kwa yeyote anaye karibishwa tulianza na Swaziland mbane, akafuata nkana akaja mwarabu js soura toka Algeria,
Eee yarabi tunakuomba siku ya Leo, tusamehe pale pote tulipokosoea utusaidie tuweze kurudisha magoli yote, kama ulivyoweza kulisafisha jina la MAN CITY dhidi ya CHELSITA, tusafishe pia sisi zidi ya hao watoto wa farao....Amen.
Uyo Al ahly ndio nani???? Mpapaso square lazima umuhusu Leo.