Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

FACT
Unapohitaji mafanikio mazuri na yenye tija lazima ukumbuke kuwa hakuna shortcut katika kuyafikia lazima upande ngazi ili kila hatua ni somo kwako achana na lift.
Lazima Ujiamini, Uthubutu, Utekeleze uutaonamatokeo yake.
Leo ni Moja ya ngazi za kupanda juu Twendeni Uwanjani Lazima kieleweke ni zamu yetu.

Yes we Can
This is Simba
FB_IMG_1549359690356.jpg
FB_IMG_1548871490073.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaitakia kila la kheri Timu ya Simba katika mechi ngumu ya leo. Watanzania wote tushikamane, tuwe wamoja kuhakikisha timu ya Simba inaibuka kidedea. Ushauri wangu ni kuwa leo wamuanzishe Kipa Dida kwenye goli badala ya Manula.
 
Wanacheza na timu gani?, uwanja gani?, kuanzia saa ngapi?, tv gani inaonyesha?, haya yote yalitakiwa kujibiwa kwenye uzi wako
 
Hamna kitu kama hicho Swahiba. Muandike maumivu tu.
Hajjat na wewe pia unakaribishwa kushudia utoaji posa wa kwa binti mrembo wa kiarabu jioni ya Leo, ndoa kamili ni wkend hii tarehe 16 apo apo taifa, kufika kwako kutafanikisha shughuli hizi mbili kikamilifu asante.
 
Back
Top Bottom