Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Kwanza tushawavuruga tayar maana waijua tunapigwa hvyo tushawafunga tayar wale, tena tuwapige nyingi sana wawe na adabu maana walitudharau sana
Hasira za hamsa za waarabu na zile za wacongomani tutazimalizia kwao hao, kwa mpira tuliompigia Leo mwarabu sijui jumamaosi iyo itakuwaje
 
Mbongo alietengeneza hii picha Mungu anakuona, acheni dharura
tapatalk_1549989732740.jpeg
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom