Simba bingwa Tanzania 2011-2012

Mashabiki wa Yanga leo walikuwa wanashindwa kuelewa waishangilie Mtibwa au Azam !!
 
Hivi Simba si ndio ilikuwa inaitwa Sunderland mwaka 1973, Si maizungumzia BIG NATION? sasa kwanini isiwe bingwa?

Vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Full Time Uwanja wa Taifa

Azam 1 - Mtibwa 2

Points Simba 59,Azam 53 na Tunawasubiri Yebo Yebo Keshokutwa ili furaha ya ubingwa iwe nzuri na nextweek tuendelee kutesa kwenye mechi ya Kimataifa.Mungu ibariki timu ya Simba ifike mbali kwenye michuano ya kimataifa
 
Amina.
 
mnyama mnyama mnyama mnyama,ngriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom