ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle 💪 kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno
Simba hajapata mechi ngumu. Mechi ngumu ndo hii ya final
Nina uhakika 💯 Simba hatapata goli wala on target hata 1. Atafungwa mechi zote na magoli mengi.
Kikosi cha Simba ni dhaifu mno, Simba hakuna mchezaji wa kupata nafasi ya kuanza tu pale Berkane. Simba haiwezi kupishana na RS Berkane.
Simba ni under dogs 🐶 Kwa RS Berkane
Kila la heri RS Berkane ma champion 🏆 wapya wa CAFCC