Simba atabeba kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika 2023/2024

Oct 16, 2021
9
26
Habari zenu wadau!

Japo sijawahi kumwambia yeyote, ukweli ni kwamba mara kadhaa nimekuwa nikiota ndoto kuhusu mambo mbali mbali ambayo mengi hutimia kama nilivyotabiri kwa sababu ukiachana na kupewa maono nimekuwa na kipaji asilia cha kutafsiri ndoto.

Siwazi sana kuhusu mchezo wa mpira wa miguu lakini kwa mara ya kwanza juzi nimeota ndoto kuhusu soka.

Niliota Simba ikicheza dhidi ya timu ya Ulaya katika mechi ambayo Simba ilifungwa goli ndani ya dakika chache za kipindi cha kwanza. Ndoto haikukamilika lakini ni wazi kwamba Simba ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao yasiyopungua mawili.

UTABIRI WANGU

Mpaka kufika hatua ya kucheza na timu ya Ulaya katika uwanja wa huko maana yake Simba ni bingwa wa Afrika na pale alikuwa akicheza na aliyebeba kombe la ubingwa wa Ulaya kama ilivyo desturi kukutanisha bingwa wa Afrika na Ulaya.

Sina uhakika matokeo ya mechi moja moja ya Simba kwenye ratiba za CAFCL zilizobaki msimu huu yatakuwaje (ukizingatia Afrika kuna sheria ya first leg na second leg au tuseme mechi za Nyumbani na Ugenini katika kila hatua) lakini........

Naiona Simba ikifuzu hatua zilizobaki, kuanzia hapa kwenye robo fainali kwenda nusu fainali, kisha nusu fainali kwenda fainali, na baadae kuvikwa taji la Ubingwa.

Il| Il |I l| Il
 
images (1).jpeg
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE SIKIO NA ASIKIE
 
Back
Top Bottom