Nimeota nakimbizwa na simba

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,744
Ni huko kijijini tulitoka ni kama mnadani hivi kuna kitu nikakifanya kwa mtoto wa Simba, hivo simba wkaanza kunikimbiza,

Nikafika nyumba moja hivi ilikuwa na vyumba vitatu vyote milango ya nje nilipofika nikakuta na watu wengine nao wakaingia ndani, simba akawa anatafuta tu nilipo mm nilivoona hivo nikatokea dirisha la nyuma na kukimbia, baadae akaniona na kunifuata ilibidi nikapande juu ya mti mrefu sana ndo ikawa pona yangu.
 
Mkiambiwa msiwe mashabiki wa Yanga kindakindaki hamsikii, unaoona sasa roho yako inakusuta.
 
Umekunywa kabla ya kulala.
Sasa unahitaji upesi kuamka kwenda toilet.
Hii ndoto ya 'hatari',it is just a device( by a power greater than you) kukuamsha .
 
Ni huko kijijini tulitoka ni kama mnadani hivi kuna kitu nikakifanya kwa mtoto wa Simba, hivo simba wkaanza kunikimbiza,

Nikafika nyumba moja hivi ilikuwa na vyumba vitatu vyote milango ya nje nilipofika nikakuta na watu wengine nao wakaingia ndani, simba akawa anatafuta tu nilipo mm nilivoona hivo nikatokea dirisha la nyuma na kukimbia, baadae akaniona na kunifuata ilibidi nikapande juu ya mti mrefu sana ndo ikawa pona yangu.
Simba wa kisasa wanajua kupanda miti; kama ulipna kwa kupanda mtini basi ulikuwa unakimbizwa na Simba mzee. Angalia

View: https://www.youtube.com/watch?v=v4KACj6ErgY
 
Kuota unakimbizwa na simba inaashiria una shida kubwa inayokukabili au unahisi mtu anatishia kukudhuru.

Kufanikiwa kupanda juu ya mti inaashiria utaweza kuzishinda hizo shida.
 
Umenikumbusha mwaka jana mwanzoni, niliota nakimbizwa sana bila kukamatwa! Niliota mara tatu, ila mara ya nne niliota nmekamatwa na watu kama askari magereza! nlijitahidi kupambana lkn wapi wakasema "tunakupeleka gerezani!"
Ila kuna sura mbili za watu wa ofisini ninapofanya kazi niliwaona!
Mpaka leo sipo kimtindo sipo sawa kiofisi mpaka nje ya ofisi!
 
Ni huko kijijini tulitoka ni kama mnadani hivi kuna kitu nikakifanya kwa mtoto wa Simba, hivo simba wkaanza kunikimbiza,

Nikafika nyumba moja hivi ilikuwa na vyumba vitatu vyote milango ya nje nilipofika nikakuta na watu wengine nao wakaingia ndani, simba akawa anatafuta tu nilipo mm nilivoona hivo nikatokea dirisha la nyuma na kukimbia, baadae akaniona na kunifuata ilibidi nikapande juu ya mti mrefu sana ndo ikawa pona yangu.
Marinda yako salama kweli?
 
Serious!?.
Ila Mungu anakupenda sn,amekuonyesha Kila kinachoendelea ila hujaelewa!.

Haupo sawa sbb mwisho wa ndoto ndo Hali halisi mkuu!
SI uliona umekamatwa?ndo ilivyo Kuna namna wenzio wamekuweza sa sijui hilo geteza walilokuweka ni lipi? ... Vita Yako inatokea kazini huna namna zaidi ya kuomba Ili utoke hapo
 
Ndoto kweli au ?
Na km ni kweli ,pambana usichukulie poa
 
Ni huko kijijini tulitoka ni kama mnadani hivi kuna kitu nikakifanya kwa mtoto wa Simba, hivo simba wkaanza kunikimbiza,

Nikafika nyumba moja hivi ilikuwa na vyumba vitatu vyote milango ya nje nilipofika nikakuta na watu wengine nao wakaingia ndani, simba akawa anatafuta tu nilipo mm nilivoona hivo nikatokea dirisha la nyuma na kukimbia, baadae akaniona na kunifuata ilibidi nikapande juu ya mti mrefu sana ndo ikawa pona yangu.
Chama alikuwepo? Naskia kasamehewa
 
Serious!?.
Ila Mungu anakupenda sn,amekuonyesha Kila kinachoendelea ila hujaelewa!.

Haupo sawa sbb mwisho wa ndoto ndo Hali halisi mkuu!
SI uliona umekamatwa?ndo ilivyo Kuna namna wenzio wamekuweza sa sijui hilo geteza walilokuweka ni lipi? ... Vita Yako inatokea kazini huna namna zaidi ya kuomba Ili utoke hapo
Kaka mimi ni mfungwa kiroho, ninajishuhudia nikiteketea taratibu!
Red flags nyingi naziona...
🚩kimwili,
🚩kiuchumi na
🚩mahusiano
Kwa ufupi nina tapatapa!
 
Kuna watu ambao mnatoka kijiji kimoja au sehemu moja watakuwa wanakuandama Kwa ubaya...utafanikiwa kuwakwepa lakini bado watakuwa busy na wewe..... mostly likely utakimbilia mjini lakini na wao watakuja Kwa ajili yako ....
Yawezekana ni ndugu zako ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom