Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,167
- 16,256
Kweli?Wahuni washamuibia Pablo iPhone yake
DuuuhWahuni washamuibia Pablo iPhone yake
Wewe tangu lini ukawa shabiki wa Simba? We Kabwili tulia.Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.
Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
Wewe ni utopolo tunakujua acha tufurahie ushindi wetuSijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.
Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
Sema Feisal kazidi kujilegeza shololo sanaWalicheza hivihivi na Yanga. Wakamuumiza Feisal na hata Zawadi Mauya. Mkawasifu sana
Hapana ni Faisal, si unakumbuka alivyovua shati??Duh...Sakho Mchezaji Bora Wa Mashindano.
Tulia utopolo.Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.
Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
Azam wamebebwa sana mkuu, ni hivyo mpira unamuheshimu fundi tuDuh refa huyu sijui ka interpret vipi lile tukio
Inaonekana kama kapoteza kitu alikuwa anatafauta chiniKweli?
Na tunarudi kutetea ubingwa wetu wa ligi na ASFC ..Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.
Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
Inonga aliiokotaPablo ni Kama Kapigwa Simu
THIS IS SIMBA.......NGUVU MOJA..!Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.
Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
Na hata angeushika ingekuwaje foul wakati yupo ndani ya eneo lake?Kama Manula angeushika mpira moja kwa moja kwa mikono ndiyo ingekuwa foul.
Ila kaucheza na mguu. Referee alishindwa tu kutafsiri kanuni.
Alivyokuwa anarushwa muda ule nikiona kama kitu cheusi kinadondoka.Inaonekana kama kapoteza kitu alikuwa anatafauta chini
Ingekuwa ni indirect free kick mkuu.Na hata angeushika ingekuwaje foul wakati yupo ndani ya eneo lake?