Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.

Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
 
Wewe tangu lini ukawa shabiki wa Simba? We Kabwili tulia.
 
Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.

Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
Wewe ni utopolo tunakujua acha tufurahie ushindi wetu
 
Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.

Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
Tulia utopolo.
 
Na tunarudi kutetea ubingwa wetu wa ligi na ASFC ..
 
Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.

Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
THIS IS SIMBA.......NGUVU MOJA..!
Refa hajabeba Mtu isipokuwa Mechi ilikuwa Kubwa Kumzidi.
Mfano faulo gani ile Ya Inonga ....Kaunyanyua mpira kwa miguu akampasia Kipa Kwa Kichwa Yeye Kasema Faulo...!
 
Kama Manula angeushika mpira moja kwa moja kwa mikono ndiyo ingekuwa foul.

Ila kaucheza na mguu. Referee alishindwa tu kutafsiri kanuni.
Na hata angeushika ingekuwaje foul wakati yupo ndani ya eneo lake?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom