Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
2,648
2,000
Ile penati ingekuwa wanacheza Yanga pale halafu kipa wa Azam kafanya vile basi yangetolewa shutuma nyingi sana kuwa Kigonya kapewa muamala baada ya mapumziko.
Penati za wazi zinaonekana na za miamala zinaonekana
 

changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
2,613
2,000
Penati za wazi zinaonekana na za miamala zinaonekana
Umeelewa nilichokisema? Vipi Kama Kigonya kapewa ela baada ya kuonekana game ngumu afanye namna ili kuiraushia ushindi Simba? Katika hali ya kawaida kipa unayejitambua hauwezi kufanya upuuzi kama ule wakati mpira umeshafika kwenye himaya yako?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom