Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
25,579
2,000
Pablo ni Kama Kapigwa Simu
Pablo ni mtu ambaye anafanya kazi sio tu kwasababu ana hakika ya kupata mshahara wake

Na ndio maana anakuwa mkali pale anapoona marefa au wachezaji wanafanya sivyo

Na inabidi wamsikilize maana huyu kakaa benchi moja na zZdane na mara kadhaa Ronaldo alikuwa anelekezwa nini cha kufanya na Pablo, sasa anakujaje mzenji kujitia umwamba?
 

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
4,319
2,000
IMG_3619.jpg
 

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
25,579
2,000
ila Inonga aliunyanyua mpira kwa mguu akaupiga kwa kichwa kwa Manula ,hata angeushika Manula bado siyo kosa
Na ndio kitu ambacho mimi najiuliza, kwamba ili faulo ilete mantiki kulitakiwa kuchezeka kosa gani?

Kwasababu hata kama mwamuzi alitafsiri kwamba heninga aliunawa mpira basi ingewekwa penati sio freekick
 

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
2,280
2,000
MABINGWA Wapya Mapinduzi CUP 2022 ni Mnyamaaaaaa!
Dah...maisha Yanaenda Kasi Sana ,Yaani Utopolo ndo Wanakuwa Mabingwa wa Historia tena kwenye Mapinduzi Cup.
Yaani Walishawahi kuwa Bingwa huko siku za Nyuma!!
 

dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
4,462
2,000
Kama kuna mtu wa kulaumiwa basi ni kipa,uzembe wa kiwango cha juu

By the way Azam wamebadilika sana raundi ya pili Simba na Yanga wanaweza wakaambulia point moja au wasipate kabisa...wanaupiga sana sasa hivi tena wanaupiga wa uhakika.Kukosa penati kubwa jinga leo lingeumbuka
 

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
25,579
2,000
Ilishazoeleka na ikawa kama desturi kwamba mechi yeyote ambayo simba anacheza afu akahudhuria Rais basi simba lazima inapoteza hiyo mechi

Now tumekuja kubadilisha hiyo imani ya kishirikina, tunakufunga popote as long as tumeamua
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom