Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.

Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
Ni kweli mkuu, huyu refa hafai na leo kashindwa kujizuia hisia zake na kuonesha yeye ni shabiki mnazi wa azam kwa kuwapendelea

Ukiangalia ule mpira uliochezwa na Henonga kwenda kwa Manula, hutaona utofauti wa kimaamuzi na yule refa aliyeweka goal corner kwenye mechi yetu wana yanga na Lipuli
 
THIS IS SIMBA.......NGUVU MOJA..!
Refa hajabeba Mtu isipokuwa Mechi ilikuwa Kubwa Kumzidi.
Mfano faulo gani ile Ya Inonga ....Kaunyanyua mpira kwa miguu akampasia Kipa Kwa Kichwa Yeye Kasema Faulo...!
Mlikua mnaomba mpira uishe.....azam ya sasa siyo ile ya mwaka juzi..
Wamemiliki mpira zaidi ya mpinzani wao ....upande wa pili tuliona mkibutua mipira tu
 
Sijawahi kuona refa wa hovyo kama huyu
Kwahiyo sasa wimbo umehama umehamia huku simba yaani tumebebwa kirahisi Sana.

Mimi kama simba kindakindaki nasema hii mechi tumebeba ubingwa sio kihalali azam walitubana Sana, aibu kwetu simba na refa wetu
kunya tikiti mwanambiti wewe..mwanaume mzima unakuwa na Domo Kama CHUCHUNGE..ulitaka tubebe makalio yako ndo ulidhike .😠😠😠😠😠
 
Mlikua mbaomba mpira uishe.....azam ya sasa siyo ile ya mwaka juzi..
Wamemiliki mpira zaidi ya mpinzani wao ....upande wa pili tuliona mkibutua mipira tu
Sasa unashindwa kujua kuwa ile ilikuwa ni game plan? Kuanzia dk ya 80 Simba Sc imepaki basi ili kuulinda ushindi wake baada ya Azam kuingiza wachezaji wengi kutoka Sub.

Mpira ni zaidi ya kuchezacheza tu.
 
Picha ya Mabingwa hii hapa

5B9C136A-4537-42D7-9D94-EED5C70D5EAC.jpeg
 
Pablo ni Kama Kapigwa Simu
Pablo ni mtu ambaye anafanya kazi sio tu kwasababu ana hakika ya kupata mshahara wake

Na ndio maana anakuwa mkali pale anapoona marefa au wachezaji wanafanya sivyo

Na inabidi wamsikilize maana huyu kakaa benchi moja na zZdane na mara kadhaa Ronaldo alikuwa anelekezwa nini cha kufanya na Pablo, sasa anakujaje mzenji kujitia umwamba?
 
Back
Top Bottom