Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
25,579
2,000
No soma vizuri Mzee. Lazima goalkeeper audake na mikono. But Manula kaucheza kwa miguu. Usiingie kwenye mtego wa wachambuzi uchwara akina Prividinho
Sasa kwa hicho kifungu kinasema haijalishi hata kama goli kipa kashika kwa mikono au lah,
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
44,156
2,000
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hapana mtani. Yaani nilikuwa nimebanana na majukumu nikashindwa kuingia hapa wala kuufuatilia mchezo lakini nilijua tuu lazima tushinde
Hahahaaaa. Hamna kitu ka hiyo Mtani.

Sema ulikuwa unasikilizia. 🀣🀣
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
7,057
2,000
Hahahaaaa. Hamna kitu ka hiyo Mtani.

Sema ulikuwa unasikilizia. 🀣🀣
Kati ya mechi zinazotabirika kwa Simba ni Azam. Yanga huwa ni ngumu haitabiriki kwani nyie mtani ubingwa kwenu ni kutufunga 🀣

Huyu nilijua lazima tumlambe kwani kwa kikosi cha sasa Azam saizi yetu tunajipigia tu.
 
park don

JF-Expert Member
Dec 2, 2017
4,110
2,000
AHSANTE SIMBA AHSANTEH SANAAAAA SIMBA mmenufanya wikiendi yangu iwe njema sana natembea kifua mbele kama nmepigwa ngumi za mgongo!!
Simba rahaaaaaa
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
44,156
2,000
Kati ya mechi zinazotabirika kwa Simba ni Azam. Yanga huwa ni ngumu haitabiriki kwani nyie mtani ubingwa kwenu ni kutufunga 🀣

Huyu nilijua lazima tumlambe kwani kwa kikosi cha sasa Azam saizi yetu tunajipigia tu.
Hahahaa. Hivi kama sio ile penalti kulikuwa na kujipigia kweli Mtani.

Shukuruni tu mulipata goli la kupewa. Teh teh. πŸ˜…

All in all hongereni.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
7,057
2,000
Hahahaa. Hivi kama sio ile penalti kulikuwa na kujipigia kweli Mtani.

Shukuruni tu mulipata goli la kupewa. Teh teh. πŸ˜…

All in all hongereni.
Hatujapewa mtani. Yule kipa mshamba kawagharim Azam. Anadakaje mpira akiwa ametanguliza daruga. Ndio maana alizawadiwa kadi. Check highlights utaona mtani.

Ila Azam wanakuja vizuri kwa sasa.
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
44,156
2,000
Hatujapewa mtani. Yule kipa mshamba kawagharim Azam. Anadakaje mpira akiwa ametanguliza daruga. Ndio maana alizawadiwa kadi. Check highlights utaona mtani.

Ila Azam wanakuja vizuri kwa sasa.
Mi aliniudhi sana yule kipa hakujua tu. πŸ™

Ile saa mmepata ile penalti Mtani nikaenda zangu kulala. πŸ˜…
 
Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
2,648
2,000
Hahahaa. Hivi kama sio ile penalti kulikuwa na kujipigia kweli Mtani.

Shukuruni tu mulipata goli la kupewa. Teh teh. πŸ˜…

All in all hongereni.
Hata penati isingetokea Simba wangeshinda maana Simba huwa mda unavyoenda wanazidisha mashambulizi
 
changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
2,613
2,000
Hata penati isingetokea Simba wangeshinda maana Simba huwa mda unavyoenda wanazidisha mashambulizi
Ile penati ingekuwa wanacheza Yanga pale halafu kipa wa Azam kafanya vile basi yangetolewa shutuma nyingi sana kuwa Kigonya kapewa muamala baada ya mapumziko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom