Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

mleta maada uwe unafikiria kabla ya kuja hapa. Pengine uwe uchamba kwanza
 

duuu kumbeee kiswahilii kigumuuu hiviii yaaniii hata kiswahilii rafikiiiii hujuiiii unahitajiii msaadaaa duuuuu kweliii m4c with no apologic
 
Wakati mwingine muwe waangalifu mnapokuja JF! Huyo Olesendeka ni mchafu kupitiliza.Acheni kutumika jamani.

Ikibidi ipo siku tutayaweka hapa tuondoe unafiki.Kama mnadhani ni mtu safi endeleeni kuchafua watu muone nini tutafanya.

Wewe mwenyewe tangia lini ukawa msafi?
 
Mzee Olesendeka ndio mkombozi wa Simanjiro.

Kwa lipi!acha kuwapotosha wananchi,kafanya nini au mmeridhika na maisha ya dhiki mnayoyaishi hapo?Embu funguka kijana!hope utakuwa umesoma!fanya tathmini ya mambo!chakachua mambo na shirikisha ubongo wako kuchambua mambo!Hivi tanzanite inayobebwa na makaburu hapo mereran imekusaidia nini!jiulize kwanini wamasai mmegeuka kama moja wapo xa vivutio vya watalii,na je mnanufaika na nini,pangusa tongotongo ulizonazo machon ndungu yangu!wakomboe wenzako!Ole Millya kaliona hilo!Simanjiro si mali ya Ole Sendeka!hata mimi ntakuja kugombea hapo!Si humtaki Millya?Mimi nakuja,utanikubali!
 

Ebw eeh,embu kajipange upya na kiswahili chako cha kiluga ndo urudi tena,tupo hapa jamvini tunakusubiri!
 
I'm neither much into politics nor aligned to any political affiliation, but you seem to of flimsy propositions and a mediocre, pole.
 
nimejaribu kufananisha na chochote nikaona kijambo ndio chaweza fanana na andiko hili.vipi useme sisi wakati waandika peke yako?
 
anadhalilisha wamasai huyu.
 
Dh!kweli pesa yaweza kumgeuza mwanaume kua mwanamke.hawa wachumia tumbo wa sendeka washakua wakike.
 
Mtoa mada ana akili za paka kwani paka hupenda kujipendekeza kwa mpishi (ccm) na baadae mlaji (viongozi wa ccm) hakika ndungu yangu upambe haufai fanya kazi halali
 
Mi nadhani mwenye njaa hasa ni wewe...
umelipwa kiasi gani kupost hivi mkuu?
 
kajipange vizuri huko kambi ya chokaa:glasses-nerdy:
 

Huyu sio katumwa, katumika kama KONDOM!! Kwa niaba ya Wamasai woooote wa Tanzania, nina wataka radhi kwasababu ya mwehu huyu aliechafua hadhi, heshma na utu wa mmasai! Nasema haya kwasababu kati ya watu ambao wameonja shubiri katika miak 51 ya uhuru wa nchi hii ni wafugaji wa jamii ya wamasai. Wameteseka sana, wanakufa njaa (ngorongoro), wamehamishwa kutoka Serengeti kwa fidia ya ngorongoro na mpaka sasa hawajua kesho yao ikoje. Wamehamishwa kwa ukatili mkubwa kutoka Ihefu na wamekua na umaskini wa kutupwa sana! Haya yote yamesababishwa na Serikali ya CCM!

Nachelea kusema kwamba kati ya watu ambao wangekua wa kwanza kuachana na CCM tena mapema sana ni WAMASAI na sio Wairaq wala Wachaga ambao ndio source ya ukombozi huu. Hawa Wamasai wamefanyiwa madhila ya kila namna, wamefanywa wakimbizi katika Nchi yao, wanachekwa katika nchi yao, Kote Umasaini hakuna huduma yoyote bora iwe ni barabara, maji, majosho, vituo vya afya, shule bora na waalimu! Kwanini? Serikali ya kifisadi na kibaguzi ya CCM ndio imesababisha yote haya!

Huyu Kibaraka wa CCM na OLESENDEKA, ni MMASAI lakini haoni wala hasikii na wala matatizo ya wamasai wenzake hayamgusi maana wote hao na OLESENDEKA wao WAMESHIBA SANA, WANAKULA NA KUSAZA MPKA WANAMKUFURU MWENYEZI MUNGU !!

Nimhakikishie tu jambo mmoja, kwakua ninyi mnaenda kwa WAGANGA WA KIENYEJI pale MTI WA MJERUMANI njia ya kwenda BABATI na kwingineko; SISI tunamtumaini huyu YESU alie hai na kwamba:-

1.Tutashindana kwa hoja jukwaani kama tulivyofanya M4C October katika kata za Komolo, Terat na No 5 ambapo mpaka leo hamjajibu hoja hata mmoja maana mmelemewa na hoja za CHADEMA na ndo maana umekurupuka tu usingizini ukaandika ***** wako.

2. Tutashindana kwa imani maana sisi Mungu yu upande wetu na kwamba amesema msipigane kwasababu yeye atatupigania na ninyi tumieni dawa zenu kiganga tuone matokeo! Katika hili CHADEMA itashinda!

3. CHADEMA ushindi wake SIMANJIRO sio suala la kujadli maana tathmini halisi inajulikana na ushahidi wa haya subiri chaguzi za serikali za mitaa, tutachukua vitongoji hadi vijiji.....

4. Wewe na huyo anaekutumia kama kondom, mwende shule maana aslimia 100% ya wafuasi wa sendeka ni darasa la pili B, aliekwenda mbali kidogo ni darasa la nne C na kiongozi wao SENDEKA ni form 4 zero! Ishara moja wapo kua wewe mwenye thread hii ni kilaza wa mwisho ni uandishi wako tu, hata kiswahili hukijui! Nendeni shule acheni MAJUNGU maana mwisho wenu umekaribia na lazma mtoke SIMANJIRO, OLEWENU maana siku na saa zimekaribi!!
 

Oleleshwa hahahaha, hongera kwa pumba zako nilitegemea ungekuja kuandika uharo wako hapa siku nying by way umechelewa kwanza rudisha hela ya makamanda wenzako maana wanakutafuta mda huu, alafu njoo unieleze kwanini mtashinda simanjiro na mtashindaje?
 
 

Pointless!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…