Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka


Hivi tawi la Lumumba Arusha limeanza kazi lini?
 
Sijaona kabisa ni kwa vipi Ole Sendeka atammaliza Milya.This is too low!!
 
ukweli nimekupa hilo unalo la kulalia utatoka sana povu leo,. Yani wamasai ni manamba wetu watarajiwa make hamnaga akili hata kidogo

Unajua type za fallacy kijana?kuna moja inaitwa Hasty Generalization.Stop that
 

Naona mmeamua kumKolimba mallya na Oleleshwa. Hivi bado fikra zenu ni za kimabwepande tu kiasi cha kushindwa kisiasa mnafiklia kuwahasi watu. Hapa si kwamba mtammaliza kisiasa bali mnapanga kumuua na kuondoka na roho yake. Ila kumbuka hata ikifanyika hivyo haitabadilisha ari ya waTanzania kupigania haki zao. Wameonewa vyakutosha, wamedhulumiwa vya kutosha, wamenyanyaswa isivyomithilika ukimya wao umekuwa ni mtaji wenu ninyi mafisadi. Hakika MUNGU yu upande wetu tulianza naye na tutamaliza naye. Ukiua unaifanya damu ya huyo uliyemuua idai ukombozi kichwani mwa watu.
 
Mzee Olesendeka ndio mkombozi wa Simanjiro.
Mkuu unalo leo! Kimsingi Kwa tunaoijua Simanjiro, niyapi hayo maendeleo yametokana na kuwepo kwa Mkombozi Huyo? Ila naomba utujibu katika maeneo yafuatayo tu;
1. Maendeleo ya Mifugo
2. Maendeleo ya Kilimo
3. Maendeleo ya Elimu na Afya
4. Raslimali; Madini, ardhi na Mbuga za wanyama.
Tunakusubiri!!!
 

Nikikujibu utanisababishia ban....................... hongera kwa pumba zako zilizojaa majungu na fitina isiyo na madhara kwa Milya na chadema
 

kwanza jina id yako olemandalo! Huna hata haya ! Nape amewafunza mipasho kweli bendi yenu inaitwaje?
Sasa Wewe Sendeka mmekalia kuti kavu ,msubiri huo moto!
Vimailbox vyote vya nape havina bahati!
 
Yakupasa kujenga hoja, na si kukimbia mbia ovyo kijana. Maswala ya kutolipa ada hapa jukwaani nafikiri si mahali pake. Nenda kajipange uje kivingine
 
Mkuu si uweke hata sentesi moja SENDEKA AMEFANYA NINI KUMWUA HUYO MILLYA! Otherwise pole kwa UMBEYA.
 
Hivi CCM mna chuo cha kufundishana ujinga? Kwani Sendeka ana hati miliki ya ubunge wa Simanjiro? Kaza buti Mallya.
 
think twice unapopost vi2! hili jhamvi lina watu wanaojielewa do U think unaweza kuwaconvice easily like that? we umetumwa kama jini tena vila malipo yoyote so! ndo hivo ushakuwa used km condom........think twice jinsi wanasimanjiro wanvyonyanyasika na serikali yako ya kifisadi~! hivi unamtisha nani.....do you declare kwamba simanjiro ni yenu, ww, olesendeka, babu yako na wengineo think twicw kijana cio unakurupuka huwezi kutudhoofisha makamada kirahic ivo! think twice, narudia think twice then ujijue wewe ni nan kama cio used condom!
 
Wewe ni nani hata utishie maisha ya watu?samahi ndugu hivi umeongea kwa mujibu wa katiba ya JMT au ya CCM? Mod kwa nini watu kama hawa msiwapige ban?

mods wanatakiwa kupiga ban watu wenye akili timamu ambao tunajua wakiandika upumbavu tunajua walidhamilia, lakini ban kwa watu sampuli ya huyu ni kwaonea tu, ila ingekuwa ni vyema kama tungekuwa tuna interact nao kwa macho tngekuwa tunawatia bakora
 
Anajaribu kutuambia nn?Maana kichwa cha habari kinasema MB Sendeka kamshika pabaya Millya lkn UKISOMA HABARI YOTE ni yeye mtoa habari ndiyo anazungumza!

Kuna sehemu yyt kamnukuu Sendeka kama hayo ndiyo maneno yake?
 
Inafiuka wakati ***** kama huu upuuzwe...hata na comments tusiweke kabisa
 
Wakati mwingine muwe waangalifu mnapokuja JF! Huyo Olesendeka ni mchafu kupitiliza.Acheni kutumika jamani.

Ikibidi ipo siku tutayaweka hapa tuondoe unafiki.Kama mnadhani ni mtu safi endeleeni kuchafua watu muone nini tutafanya.

nani msafi TZ?
 
HELLO,NADHANI WEWE HUJUI MAANA YA JF>>HUWEZI KUMWOMBEA MWENZAKO KIFO ,KWA KUWA MEWENYE MAMLAKA YA KUTOA ROHO NA KUUMBA NI MUNGU MWENYEZI TU.MWISHO SIPATI SHAKA PIA NAWE NI GRADUET WA SHULE ZA KATA.HONGERA.BUT KWA SISI WENYE AKILI ZETU TUNAJUA soon simanjiro inarudi cdm..haijalishi mmekula ngapi ya ole-sendeka.kazinayo kupromise ni kuwa wewe ni kijana jitambue ulikotoka na unakooenda..peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeers!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Asante sana PhD holder , ila nimegundua kuwa huna lolote bali una njama ya kunitafutia ban tu , ili muendelee kuweka upuuzi wenu humu bila kuhojiwa ! Hakuna haja ya kulinganisha hoja na elimu , utapotea , hawa wote wanaotuibia wana elimu nzuri tu mbona haijawasaidia kitu ? Laiti kama ungemjua unayejibishana naye nina uhakika ungejificha kwa aibu ! Njaa isikufanye kipofu kiasi cha kumuona Sendeka kama yesu hivyo hatakiwi kupingwa , pole sana ndugu , narudia tena nitahakikisha kwamba Olle Sendeka harudi bungeni 2015 , sasa ni juu yako ujinyonge au ubaki hai .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…