Simama uhesabiwe (New episode)

Leo Lowasa ni malaika ikimgusa tu utapata shida.

Unaambiwa UNAFIKI ni mbaya sana.
 
Vipi ila hujaona shida kwa chadema nzima kumpisha edo kiti
 
Huyu Malisa Godlisten mhuni tu anajifanya kizazi cha kuhoji (Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG)) wakati hata yeye hana uwezo wa kujihoji. Kuna jamaa yangu zitto junior alikuwa anatetea wahuni kama hawa.

Binafsi sinaga siasa. Hizi siasa zao ndo zinaua nchi si CCM kama tunavyotaka. Kauli za kupandikizana ndo matokeo yake haya.
Vipi ila hujaona shida kwa chadema nzima kumpisha edo kiti
 
Mkuu wa Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) unahitajika sana huku. Vipi umejihoji yale niliyokwambia unatumika na unaleta huku vitu visivyokamilika kwa sababu ya kutumika kisiasa?
 
Kajamaa kanafiki sana aka....ukiwa mjuaji kupika kiasi siku moja unaumbuka kama hiviii
 
Wakati kanajifanya kanaleta hoja zake za Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) juzi, nilimwambia we mhuni tu. Wengine walibisha.

Kalieleza kwenda kuhoji polisi bila kwenda kwa mwajiri wa Ben Saa8 na Mhariri wa MwanaHalisi. Kakawa kanabadilisha muda wa kupotea kwa saa8 wakati hata JF unaonyesha kapotea lini.

Sahizi kanajifanya kana majukumu zaidi hakajibu hata hoja zetu huku.

Manafiki mtu mbaya sana.

Kajamaa kanafiki sana aka....ukiwa mjuaji kupika kiasi siku moja unaumbuka kama hiviii
 
Vipi chadema na bavicha mlishamaliza kuhesabiwa?
 
Vitakuja kusema haya maandiko yamegeuzwa. Vipi vingine vi Salary Slip, BAK...yule ArushaOne yeye amepotea kabisa
 

wengine walikuwa chadema!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…