Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,689
- 39,755
Samahani kidogo mkuu...hivi hizo frequency unazitambuaje na inatofautisha vipi kimtandao katika spidi ya internet...
unagoogle tu kaka kila mtandao wa simu umeelezewa site mbalimbali, kuhusu speed ni wao wenyewe mitandao wanaoamua sio isp. ila mitandao walitakiwa waweke waz kuhusu hz frequency zao ili mtu ajue aina ya simu ya kununua