Silvanus Mizengo Ole Pinda ni nani tena?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,151
Reaction score
14,490
Nimeona kuna hili limepenya kwenye hatua za awali za mchujo wa ubunge kwenye moja ya majimbo huko Arusha? Je mtu huyu ni nani na je ana undugu na aliyewahi kuwa PM Mizengo Pinda??
 
1000187841.jpg

Source facebook
 
Nimeona kuna hili limepenya kwenye hatua za awali za mchujo wa ubunge kwenye moja ya majimbo huko Arusha? Je mtu huyu ni nani na je ana undugu na aliyewahi kuwa PM Mizengo Pinda??
Jamii za wafugaji hasa wamasai au wasukuma wana desturi au utaratibu wa kutoa majina ya watoto waliozaliwa kutokana na watu maarufu kwa wakati huo kama viongozi wa serikali au hata wasanii.

Kuna watoto wanaitwa Nyerere, Mkapa, Magufuli, Pinda, Kikwete na majina mengine.

Kuna watoto wengine wamepewa majina ya madaktari au manesi waliowasaidia kuwahudumia na kuwazalisha mama zao.
 
Kwa hiyo kwa umri wa huyo jamaa kipindi anazaliwa Mizengo pinda alikuwa maarufu?
 
😂😂Sylvanus Mizengo Ole PINDA
 
Nimeona kuna hili limepenya kwenye hatua za awali za mchujo wa ubunge kwenye moja ya majimbo huko Arusha? Je mtu huyu ni nani na je ana undugu na aliyewahi kuwa PM Mizengo Pinda??
Mtoto wa mkulima
 
Miaka kama 5 iliyopita kuna picha ilitrend alipiga instragram bi Sofia byanaku( Mke wa Profesa janabi) amekutana na vijana 25 yrs mapacha wa kitanzania wanasoma HARVAD , Mmoja wao ndio huyu mtia nia wa ubunge huko Ngorongoro.Mimi binafsi wanafahamu tangu wakiwa wadogo ni wanyenyekevu sana, japo sijawaona zaidi ya miaka 8 lakini naamini ni vijana wa liokuzwa kwenye mila na wanaadabu sana.Natumaini wataibadilisha ngorongoro na jamii yao. Kila la heri pacha
1753976859175.png
 
Dogo anaitwa Silvanus Mizengo Ole Pinda na Waziri mkuu mstaafu anaitwa Mizengo Kayanza Peter Pinda.
Shida hiyo Ole
 
Back
Top Bottom