Siloam Ministry International Mbezi Beach

tunasubiria afe geordavie
anapenda sifa,kujigamba na kusujudiwa
we will see!
 

Ahhh.!! We jamaa rudi tu kwenye siasa..
 
Ni kweli kabisa nimethibitisha Mtumishi wa Munguu Nabii Eliya Mwangalizi mkuu wa Makanisa Ya Siloam ambayo yapo mpaka mikoani mwote Tanzania Amelala. RIP
 
Ni kweli Nabii Eliya amefariki na nimepata taarifa hapa posta kuwa alipata wasaa wa kuwaaga waumini wake siku ya Jumapili yao ambayo huwa ni jumanne na pia alipata wasaa wa kuwaaga watumishi wake wote wa branches na watoto wake kuwa ATALALA( ATAKUFA)

Nabii Eliya yupi? Yule Thebeti Eliya si alishakufa miaka kadhaa imepita? Au kuna Nabii Eliya mwingine? Naomba nielimishwe.
 
Nabii Eliya yupi? Yule Thebeti Eliya si alishakufa miaka kadhaa imepita? Au kuna Nabii Eliya mwingine? Naomba nielimishwe.


Kiongozi wa kanisa la Sloam la MBezi Beach, Nabii Eliya Kizazi channe au kwa jina lake la zaman N.MUNUO
 
Laa kanisa la traffic ,maake wanaamurishwa kuvaa nguo nyeupe toka chini hadi juu,haya makanisa mengine kweli shida ,wanavarishwa uniform kama wapo majeshini /mahospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…