Siloam church

Siloam church

Hili ni dhehebu la kishetani na kiafriti tu. Kuna watu mambumbumbu ambao wanadanganywa na wamekubali kudanganyika. Hivyo vitu vyote ambavyo mtoa mada ameandika ndiyo hali halisi iliyopo. Ila kwa ziada ni kwamba waumini hawa wa pool of siloam wanajifunga usinga kuchwani wa kitambaa. Wanavaa sare nyeupe na wakati wa kusali lazima wapige kelele na kusumbua majirani kwa maspika ya sauti kubwa. Ile nyumba wanayofanyia ibada yao ya kishetani wamemdhulumu Mzee Komu ambaye amepooza. Mtu akiugua hapelekwi hospitali bali wanamuombea wakidai amelala tu. Hata huyo Munuo kiongozi wao aliyekufa alianza kwa kuchomwa na msumari na akapuuzia kwenda kuchoma sindano ya tetanus na umauti haukumkopesha. Ile mijitu ya Pool of Siloam ni misukule mitupu!
 
Tafadhari, wenye maswali juu ya yote yanayoendelea au kufanyika pale madhabahu kuu Siloam, mimi nawashauri muchukue hatua ya kwenda pale na kujionea wenyewe kwa macho yenu, pia kuuliza pale pale kwa usilolijua pale kuliko kujitafutia laana isiyo na sababu kwa maneno ya dharau juu kinachofanyika katika madhabahu ya MUNGU WA ELIYA. Maana imeandikwa, apandacho mtu ndicho atakacho vuna~ Galatia 6:7-8.

Unamjua marehemu mchungaji lusozi wa hapo siloam
 
Je,Siloam sasa linaongozwa na mke wa aliyejiita nabii munuo au nani kiongozi mkuu baada ya kufa munuo ?
Hapo ndipo linapokuja kuwa tatizo kwa makanisa yanayojiita ya kiroho ambayo karibu yote yanaongozwa na mwanzilishi wake mchungaji fulani. Hapo ndipo utakapokubali muundo wa Kanisa Katoliki ulivyo imara!
 
Kwa kweli.katika mojawapo ya imani chafu sana ni siloam,inabidi mru uwe huna akiki hata ya kuazima kuweza kuwa mfuasi wa siloam.
 
hapo hujaendana nao, wenzio hawaamini hicho wanasema alishindwa ndio maana alikufa, wanaamini nabii wao Eliya ndio alimuua shetani na kwa hiyo wanaomba kwa jina lake na ndio maana unaskia Mugnu wa Eliya wakati wewe una Mungu wa Bwana wetu Yesu alieyekuokoa...... kifupi sio Ukristo usije ingia ukasema umeomba kwa Mungu wa Yesu Kristo ni mungu wa Eliya. Nafikiri nikimsoma anasema aliyemrithi kwasasa ni Rusumo. Wakuu waumini wa Siloam wekeni wazi imani yenu hapa watu wajifunze nini mnaamini maana hiki ndio wengi tunaelewa kutokana na magazeti yenu.

Sijasema naendana na sloam,nimesema kwa nini napenda ukristo.

Napenda ukristo kwa kua unasema Yesu alikufa akafuta dhambi zetu zote,hakuna dhambi,chochote ukifanyacho hakuna dhambi tena duniani,tuko huru kufanya chochote maana hatutiwi hatiani.
 
hapo hujaendana nao, wenzio hawaamini hicho wanasema alishindwa ndio maana alikufa, wanaamini nabii wao Eliya ndio alimuua shetani na kwa hiyo wanaomba kwa jina lake na ndio maana unaskia Mugnu wa Eliya wakati wewe una Mungu wa Bwana wetu Yesu alieyekuokoa...... kifupi sio Ukristo usije ingia ukasema umeomba kwa Mungu wa Yesu Kristo ni mungu wa Eliya. Nafikiri nikimsoma anasema aliyemrithi kwasasa ni Rusumo. Wakuu waumini wa Siloam wekeni wazi imani yenu hapa watu wajifunze nini mnaamini maana hiki ndio wengi tunaelewa kutokana na magazeti yenu.

Aiseeee .......!!
 
to hell with siloam silijui na staki kulifaham saa parapanda ikilia ndo tutajua moja'who is who
 
Aiseeee .......!!
mmmm wanaficha kwa hiyo lugha yao ila ni kwamba wanadai mwisho wa Yesu ni baada ya huyo Eliya kumuua shetani na hivyo alidaiwa kuishi miaka 1000 kisha mwisho wa kizazi hiki na aliwaamuru kuomba kupitia yeye nabii maana ndiye Adamu wa pili ndio hizo AD2 na si Yesu tena. Na ndio maana walikanganykiwa alipokufa kisha wakaamka na kusema kapaa ila ukweli sasaivi waliofunuka macho wamekimbia pamepwaya sana. tatizo wabishi hawaambiliki
 
Wapendwa Shalom, Ninaorodhesha machache ninayoyafahamu kuhusu Pool of Siloam Church ambalo lilianza mwaka 2003. (Kwa maoni yangu walianza vizuri hadi ilipofika mwaka 2008 – ndipo U-Turn ilipotokea). Pia unaweza kusoma juuya wanachokiaminikuhusiana naMWENENDO WA KANISAkwenye link hii; http://The Pool of Siloam Church - Shika neno, tenda neno MAMBO MACHACHE YA KANISA LA KIZAZI CHA NNE HAYA HAPA.

1. Pool of Siloam ilianzishwa rasmi 2003, na Mtumishi N. Munuo

2. Mafunuo ya Nabii Eliya anatambulika kuwa ni sahihi hutakiwi kuyahoji wala kuyaoanisha na Maandiko Matakatifu unapaswa kuyatii. Mojawapo ya ufunuo /maelezo ya ajabu ni hili Shetani aliuwawa naNabii Eliya Novemba2008. Hapa ndipo kwenyevile vitisho ya kuwabubu, tasa kufa n.k.

3. Imani yao imejengwana kuongozwa katikaufunuo wa majira nanyakati na jambo hili nimuhimu sana. Hivi sasawapo katika kizazi channe. Kizazi cha kwanzaAdamu mpaka gharika,kizazi cha pili Nuhu hadi Yesu, kizazi cha tatu kutoka Yesu hadi Februari 2012.

Kizazi channe kutoka Machi 2012 na kuendelea. Kwamba kwa kutumia Kalenda inayotumika sasa (Mwasisi wake akiwa ni Gregory – mwaka 1582) kanisa ilikuwa chini yautumwa kwa miaka 430 kama Israel utumwani Misri. Kuanzia 2008 watuwa kizazi cha nne wanakalenda yao.

4. Kanisa hivi sasa lipokatika kipindi cha miaka1000 iliyoanza mweziMachi 2012 (hii ni baadaya kupita kwa miaka6000. Hesabu yao ni kuwamiezi yote (12) ina siku28 na mwaka una siku336). Yaani wenzetutayari wamesha-spentmwaka mmoja katika ilemiaka 1000 ya utawalawa Yesu hapa duniani,kama iliyoandikwa katikaUFUNUO 20:1-5.

5. Kwa kuwa Kristo anaishi na Kanisa hapa duniani hivyo hakuna magonjwa, dhiki,kudharauliwa na maonevu yote. Ni siku ya saba yaani miaka 1000 ya kustarehe na kutawala. Huenda hapa ndipo ile concept ya kutokufa inapokuja / ingia / attach.

6. Waumini waohutakiwa kubadilishahadi majina yao ya ukoo.Kwa sababu majina hayoyanabeba laana, kishamuumini hupewa familianyingine (miongoni mwa washirika) na hutengwana wazazi na ndugu wa kimwili.

7. Maombi yao huombakwa kushikamanisha namadhabahu ya Siloam /Mungu wa nabii Eliya.

8. Wanapomfanyia Deliverance mtu (mmoja wa wahudumu –huingiwa na pepo/mzimu ambao unamsumbua anayeombewa na kumweleza kilichokuwa kinamfunga). Biblically,mtu mwenye pepo/mizimu yeye ndiye hupagawa na kuongea, kisha huamuriwa kutoka ndani ya mtu. Kila nilichokieleza hapo juu ina tafasiri yake ya ziada ambayo yeyote akipenda na akifunguka anaweza kutufafanulia. source: https://strictlygospel.wordpress.com/2013/04/08/kanisa-la-siloamu/
 
mmmm wanaficha kwa hiyo lugha yao ila ni kwamba wanadai mwisho wa Yesu ni baada ya huyo Eliya kumuua shetani na hivyo alidaiwa kuishi miaka 1000 kisha mwisho wa kizazi hiki na aliwaamuru kuomba kupitia yeye nabii maana ndiye Adamu wa pili ndio hizo AD2 na si Yesu tena. Na ndio maana walikanganykiwa alipokufa kisha wakaamka na kusema kapaa ila ukweli sasaivi waliofunuka macho wamekimbia pamepwaya sana. tatizo wabishi hawaambiliki

Ebana eeeeeh!!
 
Kwa nini..kuhani miaka 1000 inatumika hapa? Maana yake ni nini?

Tahadhari: Naomba nisitumwe kanisani nikaulize, anayejua anifafanulie tu ntajitahidi kuelewa.
 
Hivi ukristo una madhehebu mangapi?

samahani ninataka kufahamu tu.

Kuna mtu marekani alishawahi kufanya study ya dini na madhehebu yake akitaka kujua yako mangapi wakati anaanza yalikuwa 2600 alipomaliza utafiti wake ndani ya miaka minne yalikuwa elfu tano alipowakilisha utafiti kwa wanazuoni yalikuwa 6200.Ukristo ndio dini pekee ulimwenguni inayokua kwa kasi kwa kuwa na madhehebu mengi yenye imani tofauti.
 
Back
Top Bottom