Silipendi jukwaa hili...! Full stress!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Silipendi jukwaa hili...! Full stress!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by gango2, Nov 26, 2011.

 1. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Jukwaa hili (MMU) bana yaan % kubwa ya thread ni kupeana stress tupu mara 'hakuna mwaminifu 100%' mara 'mtu aliyemtoa demu bikra ataendelea kumgonga huyo demu hata akiolewa na mtu mwengine' mara ' mwenye mashine ndefu ndio bora (je sisi wenye fupi), mara ' ku do nje ya ndoa si dhambi' yaan full kutupa stress sisi tulipenda kiukweli ukweli....

  teh teh naunga mkono hoja liondolewe kwa muda kidooogo
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  mwambie Invisible akublock usilione.
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ndio maana ikasemwa, muwe mnachanganya na za kwenu........................ kama wewe una kopi na kupest, itakula kwako!
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Huyu nae hajitoshi,anataka akamilishwe na MMU!!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  Long live MMU wenye wivu wakajisajiri kwa waziri mkuu wa Uingereza
   
 6. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  mbaya zaidi hata ukiomba ushauri wa kimawazo tena wakiukweli ukweli watu wanachukulia mzaa !!! tena wanaanza kukuponda
   
 7. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Usiwe unaingia MMU kabisa ili usipate stress, pole sana!!
  Ila humu kuna ushauri mzuri na mbaya hivyo Mungu amekupa utashi wa kuchagua mema na mabaya. Chukua yaliyo mazuri mabaya waachie wenyewe!!!!
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Multiple ID @Work. Halafu unajichanganya Kiritimb alisema Chit-Chat wewe umekuja na MMU makubwa
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sii Ar Ei Pii
  Kwani we umeambiwa ubebe kila kinachoandikwa kama kilivyo?
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  na log off!
  Source: Washawasha
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Mtoa mada na wachangiaji wote you have made my day.
  Duh, kweli MMU ni Kiboko

  @gango2, unaogopa nini akiliwa? Tena kwa siri? Anaenda kuongeza ujuzi tu atoke kwenye huo u-clerk to Manager, kuwa objective utafurahia.
   
 12. v

  valid statement JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Kumbe MMU ni full stress? Nlikuwa sijui
   
 13. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  we leta success story yako au acha kushiriki.
   
 14. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  sawa sawa!
   
 15. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  duuu mijitu mingine bana mnaroho ngumu....!
   
 16. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  aaah kumbe always ur after successfull stories angalia nyie ndo mnaopenda raha tuuu
   
 17. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  anzisha maada tu yakuomba ushauri....! hee hee heee! mfano mzuri anzisha maada inayosema 'mkewangu ametoka nje ya ndoa naombeni ushauri' ushauri utaoupata humo eeeeeeeeeh unaweza kimbia humu
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Evarm napenda avatar yako inaonyesha wewe ni mdogo hafu unaandika kwa font ndogooo
   
 19. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi nilikuwa najua linaondoa stress kumbe ni kinyume chake.
   
 20. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  duuu kwaheri
   
Loading...