Habarindiyohiyo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 263
- 16
Good move CDM. Lakini hapa Mnyika umeniangusha, kwa nini usingetoa hii taarifa rasmi (au hii haituhusu ?) Anyway, nimependa mmeliona hilo na kuamuua kugawana majukumu. Haikuwa na mantiki kuwanyooshea CCM vidole kuhusiana na kumrundikia mtu mmoja cheo zaidi ya kimoja wakati wengine wenye uwezo wakiwepo.
Sasa Silinde nawe onyesha uwezo
Angetoaje taarifa wakati yeye alishatoswa ukatibu na kuwekwa mwingine? Hawezi kutoa taarifa kwenye jambo ambalo linamhusu yeye mwenyewe kwamba aseme leo nimeondolewa kwenye nafasi ya katibu. Mbowe na Zitto ambao ndio viongozi wa upinzani ndio watoe taarifa kuwa wamemwondoa na kumweka Silinde.
....ndiyohiyo