wabunge wengine mbugila kweli mbunge mzima anabeba gazeti lake la udaku hata hajafanya uchunguzi anaruka nalo wabunge wengine hasala kweli.
Kweli Tanzania tuna laana, waziri wa nchi(Lukuvi) anasimama kujibu hoja anaongea kama vile yupo bar. Utumbo mtupu, Membe naye anajibu tuhuma za Pembe za ndovu, eti wamarekani wanatuonea wivu kwa kuwa china watatujengea reli ya kisasa na bandari. Hawa ndio mawaziri wa Tanzania.
Ni mazuzu. Bosi wao ameenda huko huko wanakosema eti wanatuonea wivu. Hivi huwa anatafuta nini huko maana anamzidi hata Obama katika kutembelea sehemu mbali mbali za Marekani. Anaponiacha hoi ni pale anaposhindwa hata angalau kwa dakika kumi kufika na kutoa pole kwa familia ya gavana wetu Balali na kuweka shada la maua kwenye kaburi lake pamona na kuwa kila siku anashinda huko maana huku ni kama huwa anakuja kutuona mara moja na kuondika! Na mara zote kukiwa na issue nzito kama hii ya kashfa ya pembe za ndovu na wizi wa Escrow ambapo tumesimamishiwa misaada yeye huwa anaondoka nchini. Bunge linajadili yeye anakula bata USA - huko wanakotuonea wivu!Achana na wapumbavu hao, wao hata masuala yanayohusu maslahi ya taifa wanadhani tunaongelea habari za ccm tu.
una akili kweli???
Kamanda Silinde amehoji juu ya utoroshwaji wa pembe za ndovu na Mchina wa JK,ameomba muongozo kwa spika.Membe ameanza kwa kumfagilia mchina na kusema ni uzushi.Amesema kuwa taarifa ni ya kuunga-unga kwa ajili ya kuichafua nchi.Hoja yangu :Naomba kujuzwa kabla ya jana ni lini Membe alifanya uchunguzi kama Mchina hakuondoka na ndovu.hili nadhani Mh.Silinde angelihoji pia.Maana waliotoa kashfa wamefanya uchunguzi.
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.
Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!
Kuuliza habari za magazeti bungeni kuna ubaya gani?
Hususan kama magazeti yaliyoandika habari hii ni ya dunia nzima, kuanzia The New York Times, Washington Post, The Times mpaka TV za BBC na Al-Jazeera?
Unajua kwamba habari haijaanzia kwenye magazeti, na kwamba magazeti yameiandika tu?
Umefuatilia habari hii au umekurupuka?
Unajua kwamba habari hata kama ni ya uzushi, ikishapata kurudiwa sana inapata nafasi ya kuiharibia nchi sifa, na mbunge ana wajibu wa kupata tamko rasmi la serikali litakalorekodiwa kwenye rekodi ya Hansard?
Unajua hata rekodi ya Hansard ni nini na umuhimu wake ukoje?
Kaimbe taraabu we mamaaUongo wa wamarekani kuichafua China.
Tembo na pembe za ndovu wao hawana
Kamanda Silinde amehoji juu ya utoroshwaji wa pembe za ndovu na Mchina wa JK,ameomba muongozo kwa spika.Membe ameanza kwa kumfagilia mchina na kusema ni uzushi.Amesema kuwa taarifa ni ya kuunga-unga kwa ajili ya kuichafua nchi.Hoja yangu :Naomba kujuzwa kabla ya jana ni lini Membe alifanya uchunguzi kama Mchina hakuondoka na ndovu.hili nadhani Mh.Silinde angelihoji pia.Maana waliotoa kashfa wamefanya uchunguzi.
Uongo wa wamarekani kuichafua China.