Silinde alipua juu ya ndovu

Silinde alipua juu ya ndovu

Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Ama! nchi hii tatizo la ufisadi ni dogo wala si kubwa kama wengi tunavyodhani ukilinganisha na tatizo letu la aidha kushindwa kufikiri ama kufikiri hovyohovyo kusikoweza kuleta tija. kushindwa kufikiri ni kansa yetu watanzania inatumaliza jamani mpaka huruma
 
Huyu Membe amejikanyaga na hata mtoto mdogo angedharau maneno yake.Eti wanatuonea wivu?Nani aionee wivu Tanzania?

Eti Marekani wanatuonea wivu kwa sababu wanatujengea reli yakisasa.Kwamba Marekani wanaitaka hiyo reli wajengewe wao? Wanatuonea wivu kwakuwa tunaomba nakupewa lakini Marekani wakiomba wananyimwa?.yaani akiri za Ccm bwana zinatuaibisha sijui Marekani atuonee wivu Tz kwalipi!
 
tanzania ni zaid ya the comendy....Bunge letu ni zaidi ya futui

Hata raia wake ni comedian,ukawa ni comedians,CCM ni Comedians...! Hatujadili habari za maendeleo tunajadili siasa mbovu mbovu!
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

sasa unataka habari itoke wapi ndo mbunge haiseme! bila shaka wewe ni msukule
 
Wajinga Sana Inakurupuka kama Mizuzu "SIASA ZA MATUKIO " tu
WAMEUMBUKA KAmanda Membe Camillius Bernard Amewashushua.

mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! we ni MTZ kweli???????????????????????
 
Huyu ndo anataka kuwa raisi! Mimi natafuta uraia wa somalia.

Hii nchi hakuna kiongozi. Bunge limekuwa kama lango la jiji, taarab. Du!

Lowassa njia nyeupe wabaya wake wote wanajimaliza wenyewe, alianza sitta, sasa pacha wake Membe.Lowassa for presidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kumbe China ndo walitushtua kwamba kuna kondena lipo bandarini Darisalama limejaa pembe za ndovu? Asante sana Membe. Maafisa wetu wa jeshi la polisi walikuwa bize kupiga picha pembeni ya kontena hilo, as if intelijensia yao ndio iliyofanya kazi
 
.... Ulitaka Mtoto Wa Rais Anyongwa China Kwa Kukamatwa Na Unga? Tumewahonga Wachina Sasa Mwenye Wivu Ajinyonge
 
Hata raia wake ni comedian,ukawa ni comedians,CCM ni Comedians...! Hatujadili habari za maendeleo tunajadili siasa mbovu mbovu!

utapataje maendeleo kati kati ya harakkati za wezi?tunaondoa wezi kwanza kisha maendeleo tutayapata tu.
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Kuuliza habari za magazeti bungeni kuna ubaya gani?

Hususan kama magazeti yaliyoandika habari hii ni ya dunia nzima, kuanzia The New York Times, Washington Post, The Times mpaka TV za BBC na Al-Jazeera?

Unajua kwamba habari haijaanzia kwenye magazeti, na kwamba magazeti yameiandika tu?

Umefuatilia habari hii au umekurupuka?

Unajua kwamba habari hata kama ni ya uzushi, ikishapata kurudiwa sana inapata nafasi ya kuiharibia nchi sifa, na mbunge ana wajibu wa kupata tamko rasmi la serikali litakalorekodiwa kwenye rekodi ya Hansard?

Unajua hata rekodi ya Hansard ni nini na umuhimu wake ukoje?
 
Hana akili,mbunge unategemea kutafuta cha kuongea bungeni kwenye online forum?

Nawe wahoji kupitia wapi? Hivi ajali ya jana wananchi walipataje taarifa pia kuhusu ebola! Upumbavu wa watu kushabikia upuuzi hauwezikukusadia, kweli fact tuongelee fact tu.
 
kumbe nawe ni walewale misukule ya Lumumba.
Ulikuwa hujui mkuu hili jamaa ni jinga sana we lifatilie michango yake utalibaini ni jitu la aina gani.
 
silinde hana anachojua na chama chao cha ICT kimekwama.
 
Kuuliza habari za magazeti bungeni kuna ubaya gani?

Hususan kama magazeti yaliyoandika habari hii ni ya dunia nzima, kuanzia The New York Times, Washington Post, The Times mpaka TV za BBC na Al-Jazeera?

Unajua kwamba habari haijaanzia kwenye magazeti, na kwamba magazeti yameiandika tu?

Umefuatilia habari hii au umekurupuka?

Unajua kwamba habari hata kama ni ya uzushi, ikishapata kurudiwa sana inapata nafasi ya kuiharibia nchi sifa, na mbunge ana wajibu wa kupata tamko rasmi la serikali litakalorekodiwa kwenye rekodi ya Hansard?

Unajua hata rekodi ya Hansard ni nini na umuhimu wake ukoje?

wabunge wengine mbugila kweli mbunge mzima anabeba gazeti lake la udaku hata hajafanya uchunguzi anaruka nalo wabunge wengine hasala kweli.
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Hivi kweli unataka tuamini kuwa na wewe ni GT au Graduate??? .......................... No way!!! You do not think like one!!
 
Back
Top Bottom