Silinde alipua juu ya ndovu

Silinde alipua juu ya ndovu

Kumbe China ndo walitushtua kwamba kuna kondena lipo bandarini Darisalama limejaa pembe za ndovu? Asante sana Membe. Maafisa wetu wa jeshi la polisi walikuwa bize kupiga picha pembeni ya kontena hilo, as if intelijensia yao ndio iliyofanya kazi

Kama china intelejensia yao iko makini hivyo kwa nini Profesa hakuomba msaada wao ili tembo wasiuawe kabisa?? Kwa sababu kugundua shehena ya pembe ambazo tembo wameshauawa inasaidia nini? Ni jambo la aibu waziri kueleza ujinga kama huo bungeni. Watz wanachotaka kusikia sio idadi ya pembe zilizokamatwa, bali ni hatua gani zinachukuliwa kuzuia tembo wasiuawe. Unapokamata pembe maana yake tembo wameuawa, sasa hizo pembe zitawafufua hao tembo!?

Kuna mwandishi wa Uingereza aliyeishutumu serikali ya Tz kwamba haifanyi jitihada za kuzuia tembo wasiuawe, alichofanya Nyalandu ni kumwalika kuja kuona shehena ya pembe za tembo zilizoifadhiwa na serikali. Hakujua kwamba alimsaidia huyo mwandishi kuthibitisha alichoandika kwamba ni kweli. Kwa hiyo mawaziri wetu wao wanaona kukamata pembe ndio kulinda tembo.!!
 
Hii habari ipo kwenye news outlets za ulimwengu mzima ikiwemo vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa kama cnn,AFP,BBC Al jazeera na forum mbalimbali. Wenzetu China serikali yao jana ilikanusha hii habari vivyo hivyo Silinde kama mtanzania anayo haki ya kuihoji serikali yake juu ya hii habari kama ina ukweli wowote maana bila shaka imemgusa mtanzania yeyote aliyesoma ile habari iwe kweli au isiwe kweli maana kwenye jumuia ya kimataifa ile habari ina implication yake kubwa kwa nchi kama ujuavyo sekta ya utalii imeajiri watanzania wengi tu........umenisikitisha ndugu na kauli yako!
 
Hv nani kakwambia habari zipo kwny mitandao tu!so hv vi2 wabunge hawatakiwi kuhoji kwasababu hawaja2mwa na wananchi,akili za ccm ni tatizo

Hivi Profesa yupo au keshaondoka? We tumepata taarifa za kabla na baada ya kuondoka kwake humu jf... Kwa nn Silinde tu?
 
Watu kama nyie siku zenu zinahesabika, I wish ningekuwa na AK47 nikutoe utumbo tuu..aarghh

Nilitamani kukupa like nikaona nitashindwa kuonyesha hisia.. Yaani nahisi wewe amekuudhi, mimi kanikera na kunikereketa kabisa.... Watu wengine sijui wanafikiria baada ya ku-mute akili zao au..!!
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Hii nchi ndio maana tunazidi kuaibika kila siku kwa kuwa na watu wa ajabu ajabu ambao hata kama wana akili timamu wanaamua kujitoa mawazo... Bunge kazi yake ni kuiwajibisha serikali na mbunge anawakilisha sio tu matatizo ya maji na zaidi kero ambazo zinaliathiri Taifa. Kila mbunge akienda pale kwa interest za jimbo lake tu, itafikia wakati matatizo ya pamoja kama nchi hayatakuwa addressed. Nchi inahitaji uwajibikaji na kama mbunge anahoji jambo lililoongelewa katika international media then ana haki kabisa tena ya kujibiwa kwa ufasaha na sio kwa kupewa hadithi za kijiweni...
 
Back
Top Bottom