Nlibahatika kuiona kwenye Channel ya Aljazeera! sidhani kama ni mitandao ya kijamii na magazeti tu. Tunatakiwa kujua kuwa mambo hayaanzi hivihivi tu! lazima kuna sababu kama sio ukweli
Hao wanasema eti habari za mitandaoni ni watu wa ajabu sana,hivi ktk dunia ya leo mtu unategemea unapataje habari?Watu wa ccm wanatakiwa wafanyiwe ushauri nasaha ili waende na wakati.wewe ndo unakuwa si mweewa kwa mbunge wa chadema anawakilisha wananchi wote wa nchi hii kwa hyo si hjabarti? Na kwani hyo haiwahusu wananchi wote wa nchi hii? Ccm ni ukoo wa panya aisee watatumaliza watanzania!
Uongo wa wamarekani kuichafua China.
tanzania ni zaid ya the comendy....Bunge letu ni zaidi ya futui
Huvi huwa unajihangaisha kidogo hata kutafakari jambo unalosikia au kuambiwa? Au kwenye "job description" yako hapo Lumumba inasema upinge kila jambo unalosikia kuhusu chama na taifa? Hizi njaa zitakuja kuwaumbua mchana kweupe.
Kweli Tanzania tuna laana, waziri wa nchi(Lukuvi) anasimama kujibu hoja anaongea kama vile yupo bar. Utumbo mtupu, Membe naye anajibu tuhuma za Pembe za ndovu, eti wamarekani wanatuonea wivu kwa kuwa china watatujengea reli ya kisasa na bandari. Hawa ndio mawaziri wa Tanzania.
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.
Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!
Hana akili,mbunge unategemea kutafuta cha kuongea bungeni kwenye online forum?
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.
Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!
Hamjui msemalo; ama mmejazwa ujinga au mmeleweshwa na itikadi za kisiasa. Mlitaka atoe wapi habari? Ninyi mnaingia humu kutafuta nini kama sio pamoja na kutafuta na kupata habari?
Kwa ufahamu wenu, vyanzo vya habari viko vya aina ngapi? Mitandao sio vyanzo vya habari?
Mmenikumbusha ujinga wa Mzee Sitta, wakati Dr. Slaa alipokuja na ile orodha ya aibu [list og shame], mzee Sitta alizungumza ujinga kama wenu 'unaleta habari za mitandaoni'.
Ni vema kuwa na logic badala ya kutanguliza ushabiki na itikadi za kisiasa.
Hatupaswi kukubali kila neno, lkn ni ujinga uliopitiliza kukataa kila neno kwa hoja dhaifu kama hizi 'habari za mitandaoni'.
Vv
Hv Tanzania ina kitu gani kikubwa adi Marekan iionee wivu?
Hao wanasema eti habari za mitandaoni ni watu wa ajabu sana,hivi ktk dunia ya leo mtu unategemea unapataje habari?Watu wa ccm wanatakiwa wafanyiwe ushauri nasaha ili waende na wakati.