Ikulu T
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 1,599
- 4,744
Watanzania wenzangu hili suala la DPW halitaisha leo wala kesho kama HOJA zinazotolewa na taasisi mfano(Tec), wanasheria na baadhi ya wananch kupinga uwekezaji wa DPW katika bandari zetu hazitajibiwa kwa HOJA.
Swali: Nani analitakia mema taifa letu? Je, ni serikal ambayo ipo madarakan au wanaopinga?
Point to ponder: Hakuna mtu mwenye akili timamu atapinga uwekezaji wenye tija.
Swali: Nani analitakia mema taifa letu? Je, ni serikal ambayo ipo madarakan au wanaopinga?
Point to ponder: Hakuna mtu mwenye akili timamu atapinga uwekezaji wenye tija.