Hiyo ndiyo demokrasi na utawala wa sheria huo; hapo hajawa rais!Wanafunga barabara tena?!
Would you suggest an alternative course of action?Hiyo ndiyo demokrasi na utawala wa sheria huo; hapo hajawa rais!
Inafanyaje kazi na ina maajabu gan kuzidi zile za walinzi wa JPMHiyo ni harpoon gun au Chusa kwa kiswahili
zipo zaidi ya aina 100 za harpoon gun (Chusa)
Broo hiyo kitu ukitandikwa nayo huponi na sijawahi kusikikia popote pale duniani mtu aliyetandikwa na harpoon gun akapona.View attachment 1602620
mkuu zile ni Uzi gun tu wala zisikutishe sana. ni tofauti sana na hiyo harpoon gun. kwa lugha nyepesi ile ni bomu mshaleInafanyaje kazi na ina maajabu gan kuzidi zile za walinzi wa JPM
pichaWakuu,
Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha.
Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha mlinzi wa Lissu akiwa na silaha ya ajabu ambayo nimeshindwa kuelewa ni silaha ya aina gani.
Kombora sio kombora, mkuki sio mkuki, upinde sio upinde, Rpg sio rpg
View attachment 1600189
. Hakika imenitoa ushamba sana.
Naomba mwenye kuijua anipe taarifa zake ili siku nikipata ukwasi wa kutosha na mimi nikainunue kwaajili ya ulinzi binafsi.
Asante.
Nimeshangaa Sana. Yaani raia wakose huduma ya kutumia barabara kisa interests zake? Halafu anadai abapambania haki za wanyonge, hapo amefeli. Sasa huyu akiwa president halafu mtu akaingilia maslahi yake binafsi atabaki salama kweli?Huyu akiwa rahisi atayafunga ma flyover yote
Kafungue uzi wako kulee ya huku utuachie na Rais wetu Lissu kwani unakerekaHalafu mtu anishawishi kuwa eti Lissu atashinda hahaha
Hahhaaa! "Uzi gun tu Wala zisikutishe".... Kati ya hiyo harpoon na hizo Uzi guns + IWI Galilee zipi Ni bunduki za gharama na ufanisi?mkuu zile ni Uzi gun tu wala zisikutishe sana. ni tofauti sana na hiyo harpoon gun. kwa lugha nyepesi ile ni bomu mshale
Mkuu nimesoma habari zake ni kweli inajulikana kwa hilo jina la harpoon gun. Google wanasema ni moja ya silaha hatari sana inayotumiwa kuulia samaki wakubwa kama vile papa na nyangumi ambao siyo rahisi kufa kwa mpigo wa risasi moja.Hiyo ni harpoon gun au Chusa kwa kiswahili
zipo zaidi ya aina 100 za harpoon gun (Chusa)
Broo hiyo kitu ukitandikwa nayo huponi na sijawahi kusikikia popote pale duniani mtu aliyetandikwa na harpoon gun akapona.View attachment 1602620
Wewe Ni mtu na unafurahi kuona silaha inayopiga watu 50 kwa wakati mmoja!Hio ni silaha za kiyahudi zinapiga watu 50, kwa wakati mmoja
Wewe Ni mtu na unafurahi kuona silaha inayopiga watu 50 kwa wakati mmoja!
Mungu wasemehe bure waja wako.
kwani bomu linaua watu wangapi kwa wakt mmoja
Watu mna hofu na mko wepesi wa kudanganyana, hiyo siyo silahaNi mwamvuli,