Sikuwahi kujua kuwa Shigongo si mmiliki wa Global Publishers

View attachment 804614

Kwenye documnets za TCRA inaonekana mmliki ni mtu anaitwa Joachim Lusana Buyobe ambapo ndio mmiliki wa Geita online TV.

Je, huyu mtu yupo kweli ama Shigongo ametumia jina tu kukwepa kuonekana kwake?
Huwezi hata kujiongeza kidogo? Mbona Rostam Aziz alikuwa na kampuni zaidi ya 20 lakini hakuna iliyokuwa na jina lake kama mkurugenzi!... Kutokuona jina lake haimaanishi haimhusu...
 
Hivi mwanaume unaanzaje kufuatilia mali za mwanaume mwenzio unataka kuolewa?
Wewe hujitambui hata robo; chochote kilichopo kwenye public domain ni "public good"; general public ina haki ya kuhoji A to Z. Wacha ubwabwa!
 
Alichukulia leseni zanzbar ili kuleta uficho ila wajuvi wanajua kuwa mwenye hisa nyingi ni yule boss wa kihaya anayekaa tabata ambaye watoto wake wanafujo sana mjini kwa sasa
Hebu angalia kwenye usajili wa tcra mkuu lazima ajisajili bara hawezi akajisajili Zanzibar ikatosha. Nitumie link niingie kwenye hiyo list nione
 
Hamna kizazi kinachosumbuka namaisha ya watu wengine kuliko maisha yao kama kizazi cha wabongo.

Yaan mtuanayeitwa mbongo ebwaaaaaaaana ,nasiku izi asiyekujua ndo anajifanya anakujuaa.

Sasa kujua kwako au kutokujua ,kumekusaidia nn wewe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…