Sikutegemea ningechapia hivi..

msangi360

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
283
308
Kuna mbunge nilishamsikiaga alichapia akasema 'naunga mkonyo hoja' wabunge walicheka sana alfu spika akasema jaman wabunge 'mdomo hauna ulimi' wakawa hoi tenaaa .... Unakumbuka siku ulishachapia mpaka ukikumbuka unacheka mwenyewe??????
 
Basi leo nimejaribu kupiga simu police maongezi yakawa hivi:
Mimi:Hello afande nipo hapa naona watu kibao wamekufa huku wamefukiwa
Afande:Kiongozi tuambie mahali ulipo tuje sasa hivi...
Mimi:Nipo hapa makaburini
I think wanakuja maana nasikia mlio wa defender
 
Back
Top Bottom