Sikutegemea Askofu Desmond Tutu naye amlaum Yoweri Museveni

Sikutegemea Askofu Desmond Tutu naye amlaum Yoweri Museveni

Status
Not open for further replies.

simakoku

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
587
Reaction score
675
Jana asubuhi nilikuwa nasikiliza habari Radio France International Kiswahili, nikasikia habari kuwa Askofu Tutu wa Africa kusini anamlaumu rais Museveni wa Uganda kwa kusaini muswada wa sheria ya kupinga ushoga.

Anadai kuwa kwanini anapitisha sheria ya kuwakataza watu kupendana na kuwa ni heri akaweka sheria za kuzuia ubakaji lakini si ushoga. Nilishangaa sana kwani mi nilijua mtu kama Tutu angempa "like" Museveni na sio kumlaani.

Museveni mwenyewe alinifurahisha aliposema kuwa ushoga ni kitu ambacho ni "behaviural" na sio something to do with genetics- kwa maana ya kuwa ni tabia tu watu wanajifunza na si kuwa wanazaliwa hivyo.

Kwa wale wanaoamini Mungu wa kweli jamani tumuombee sana Museveni ili Mungu amtie nguvu na nchi yake kwa kuonesha ujasiri huo kwani nchi za magaribi ni kweli zitamwandama sana.
 
Jana asubuhi nilikuwa nasikiliza habari Radio France International Kiswahili, nikasikia habari kuwa Askofu Tutu wa Africa kusini anamlaumu rais Museveni wa Uganda kwa kusaini muswada wa sheria ya kupinga ushoga. Anadai kuwa kwanini anapitisha sheria ya kuwakataza watu kupendana na kuwa ni heri akaweka sheria za kuzuia ubakaji lakini si ushoga. Nilishangaa sana kwani mi nilijua mtu kama Tutu angempa "like" Museveni na sio kumlaani. Museveni mwenyewe alinifurahisha aliposema kuwa ushoga ni kitu ambacho ni "behaviural" na sio something to do with genetics- kwa maana ya kuwa ni tabia tu watu wanajifunza na si kuwa wanazaliwa hivyo. kwa wale wanaoamini Mungu wa kweli jamani tumuombee sana Museveni ili Mungu amtie nguvu na nchi yake kwa kuonesha ujasiri huo kwani nchi za magaribi ni kweli zitamwandama sana
jasiri haachi asiri, hiyo michezo weshaizoea na ndio maana wanampa kazi kiongozi wao kuomba radhi mara kwa mara kwa tabia zao chafu walizofanya na wanazoendelea kuzifanya,hata wale wa tz wanotetea ushoga(tgnp)nembo yao ina msalaba,labda waje wenyewe kunauhusiano gani kati ya imani yao na tabia hii:?!!
 
Desmond Tutu nae ni kama Jesse Jackson, wanaijua ngoma wanayoicheza na wanaowawakilisha.
 
desmond tutu is he christians?who pray with holy bible?does he knows bible laws?does he deserve to save as church leader
 
kweli aisee bora tu muendelee kula nyasi kuliko kuidhinisha ulaji wa nukta!! arafu kama obama anataka mashoga si awape green card wakaishi us?
 
wewe huoni kuwa ni dhambi?.halafu hiyo njia ni ya kutolea kinyesi sio kuingizia uume.

Dhambi kwa mujibu wa nani?

Na hata kama ni njia ya kutolea kinyesi, kama siyo njia yako inayoingiliwa wewe kinachokuwasha ni nini hasa?

Au akiingiliwa mwingine na wewe unasikia mtekenyo kwenye hiyo njia yako ya haja kubwa?

Na mbona hupingi watu kulambishana koni?
 
Askofu wa kimaslahi huyu si wa neon la Mungu!!! Siku zote ukiona mtumishi wa Mungu kama akina Lwakatare wachungaji lakini ni wanasiasa ogopa sana!!! Siasa zimejaa madhambi makubwa sana. Ninampongeza sana Dr. Slaa kwa kuamua kushika moja kuliko kuwa mnafiki.
 
Kwa hiyo? Kama hufirwi wewe inakuhusu nini mwingine akifi.rwa?

Kuna mwanasheria mmoja naemfahamu naye ni homo...huwa anautetezi wake akiwa anajidefend kwnn yeye ni anamini ktk ushoga huwa unasema "mkono ni wangu kwanini unipangie jinsi ya kuutumia kama navyoweza kuamua kuandika kwa kutumia mkono wa kushoto badala ya kulia basi na maumbile yangu mengine ninayo haki ya kuyatumia navyotaka.." basi ukimwambia hiyo ya mkono mbn ni kawaida ye huwa anajibu sasa vipi leo nikianza kuandikia mguu badala ya mkono nalo si ni kinyume na maumbile au oral sex nayo si ni kinyume na maumbile..??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom