Sikutaka kuwasikiliza ushauri wenu naomba mnisamehe

Sikutaka kuwasikiliza ushauri wenu naomba mnisamehe

Imenibidi nicheke tu

Jamaa anasema anaomba msamaha kwa kutokufuata ushauri wa nyuma lkn anasema ushauri alipewa kama iguatavyo

Amgegede tu.

Aachane naye.

Sasa yeye kagegeda yamezuka vp atakuwa hakufuata ushauri kweli
 
Sasa atakufanya kitu gani cha ajabu?....tubu kwa wife asiwe na katubu na church tubu toka moyoni mbele ya muumba na wife zen mpige chin... Af acha michpko inaonekana unazdiwa Akil kwa hyo michpko
 
hapana ww siulitudharau mwanzo sahvi hatukushauri
 
Tubuni na Kuiamini Injili,Ndugu yangu Kwaresma ni Kipindi cha kutafuta Toba kwa Mwenyezi Mungu juu ya Makosa yetu ya kila siku,
Unachofanya ni kosa na chukizo kwa Muumba wetu,Nenda katafute Upatanisho na Mwenyezi Mungu kulingana na Imani yako na Umwambie na yeye Kuwa mnachofanya ni chukizo na katazo mbele za Mungu naimani atakuelewa mwambie Akumbuke Amri ya 6 ya Mungu inasemaje pia tumia Mifano ya Maandiko ya biblia kumwambia ukweli,
 
Type hizi ndio zinakutwaga mwabepande. Ashukuru amekutana na katekista
 
kubwa sana inayoendelea kuunguruma nyumbani kwangu kwa sasa huku wife akitaka kulipeleka kanisani hili suala, nilipomwambia yeye wala haoneshi kabisa kujali juu ya ujinga alioufanya.]Ushauri wenu tafadhali nifanye nini kuokoa hili jahazi linaolekea kuzama, nawaahidi safari hii nitausikiliza na kuufuata ushauri wenu[/QUOTE]
sasa kiongozi utasikiliza ushauri wakila mtu humu ndani au unatudanganya mkuu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani hyu mtoa mada hatofautiani na bashite chaaa!! !
Daah dogo muombe radhi General Galadudu unawezaje kuthubutu kumuita Bashite...umejiunga lini JF hapa MMU? General nilikuasa mara nyingi Tezi Dume ni balaa bhanaa..hahahaa haaa
 
Aisee General Galadudu... huo mchepuko wako uko hapa central unakufungulia kesi ya kukutwa na viungo vya albino... utajuta mwaka huu..
 
Yaan jf inamambo sana natamani tutafute kijiji tununue alafu tukutane huko
Kumbe umesema kijiji nikajua mkoa ili tumrudishe Daudi A bashite awe Mkuu wetu na mungu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wewe mwenyekiti Wa hicho kijiji
 
Mkuu kwanza shukuru Mungu wife amejua maana tishio kubwa kwako ni huyo mchepuko. Kwakuwa my wife wako amejua basi tafuta njia yoyote ya kumalizana na wife halafu muache huyo mchepuko aje kuharibu anavyotaka. Nakuhakikishia ikiwa mchepuko atajua umetatua na mkeo basi nguvu yake kwisha ila inabidi ukae naye mbali na wala hana la kukufanya labda akuitie ni muuza viungo na hapo utashinda pia. Achana naye egemea kwa mkeo hata kama kuna msala, kimbilia kwa my wife wako.
Hakuna blackmailing tena kutoka kwa huyo mchepuko. Mwambie aende kokote
 
Humu JF kuna kila aina ya watu, hivyo ujue wengine ndio hao mawakala wasdetani au ma ibilisi wenyewe wanawashauri nanyi mnaenda kufanyia kutenda kama vile ni sifa.

Mnavutiwa na maneno ya kutengeteza maisha ya watu mkfikiri wanawatakia mema kumbe ni kuwaingiza katika matatizo.

Sasa weqe una mke ukatamani kujionyesha ni dume eti ule ukimbie, haya unalo na ni wewe wa kujisaidia.

Utapokea ushauri mwingine utakuvutia na utajichimbia shimo la moto.

Uliyataka, ombea awe hajapata mimba yako.
 
Habarini za kwaresima wana Jf wenzangu, naamini kwa uwezo wa Mungu maisha yanasonga ivo ivo tu japo kiugumu ugumu, sitaki nipoteze muda na nafasi kubwa ngoja niende kwny mada moja kwa moja.

Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kuleta uzi hapa nikielezea namna nilivopendwa na binti mmoja mwenye ulemavu wa ngozi, tunasali nae jumuiya moja......., nikaomba na ushauri wa namna ya kumkwepa bila kumkwaza, kuna walionishauri nimgegede tu na wapo walionishauri kinyume chake, kumbe wakati huo na yeye aliendelea kufanya mikakati mizito ya chinichini kuhakikisha ananipata........na kweli hatimae shetani akanizidi nguvu....... siku moja usiku tulikuwa kwny sherehe ya upadrisho na jumuiya mbalimbali zilikuwepo......sasa baada ya kinywaji kutukolea nikamtoroka wife nikaenda kumgegedea kwenye gari.....!!

Wiki moja tena baadae tukakutana hotel flani nikamtafuna, sasa kutokana na jinsi alivo nikaamua kwamba nisiwe nampiga ki hard-core, nikaamua tu kutumia staili flani hivi inaitwa TEZI DUME, kumbe yeye ndo akanogewa nayo na huo ndo ukawa mwanzo wa usumbufu na pia nahisi unaweza kuwa ndio mwanzo wa tatizo linakuja mbele yangu, nasema ivo kwa sababu cku za hivi karibuni amekuwa mbabe sana kwangu yani anaweza kuniita muda anaotaka yeye, nimeshakataza sana lakin hanielewi anaweza kutuma sms kwangu hata saa 7 ucku wakati anajua niko na wife muda huo........ ipo siku nikaamua nimalize mchezo tuachane...... weeeeeewh...... aliposikia namwambia suala la kuachana alikuja juu vibaya sana.

Anasema kwamba nisimletee mambo kijinga kama nataka kuyaharibu maisha yangu basi nijaribu kumuacha ndo nitajua kuwa kwann yeye ni mwanamke atanifanyia kitu kibaya ambacho sintokaa nisahau...... Duh! kwa hakika yalikuwa maneno mazito na magumu sana kwangu, akamalizia kwa kusema "ukae unajua kuanzia sasa uwe kuja muda wowote nitakaokuhitaji na ukijifanya mjanja basi nakufuata huko huko kwa mkeo" cku ya Valentine akasababisha nikatunga uongo hadi nikamuacha wife nikaenda kumgegeda yeye, wife nae ni mara nyingi sana keshaniuliza kuhusu ukaribu wangu na yeye, jumamosi iliyopita tulilala hotel flani na tukaachana asubuhi......

Cha kushangaza hiyo j2 akanitumia sms za kusifia tulichofanya jana na mambo mengine meeeeengi..... halafu mbaya zaidi wakati text inaingia simu yangu alikuwa nayo wife anataka kupiga simu sehemu...... akaisoma..... hii ndo kesi kubwa sana inayoendelea kuunguruma nyumbani kwangu kwa sasa huku wife akitaka kulipeleka kanisani hili suala, nilipomwambia yeye wala haoneshi kabisa kujali juu ya ujinga alioufanya. Ushauri wenu tafadhali nifanye nini kuokoa hili jahazi linaolekea kuzama, nawaahidi safari hii nitausikiliza na kuufuata ushauri wenu
Oa mke wa pili
 
Back
Top Bottom