Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Zion Daughter usifanye hasira,unajua shetani mjanja saana amemtumia KakaKiiza kujiinua......kweli shetani ni mjanja,nimeamini.....:A S-heart-2:
Zion Daughter usifanye hasira,unajua shetani mjanja saana amemtumia KakaKiiza kujiinua......kweli shetani ni mjanja,nimeamini.....:A S-heart-2:
Zion Daughter ni kosa gani alilolitenda majany ambalo Yesu hakulifia pale msalabani? Smile, mwambie mwenzako atulize jazba na akumbuke sala kuu, tunasamehe na kusahau ili nasi tusamehewe
Tulia huko, nini wewe majany unafanya?Yaan Zion Daughter hata mchungaji hutaki kumsikiliza??
Ndo hivo tena mkuu mwaJ amejipumzisha hapa kwangu anakula vinono tu. Kwa wale tuliopitia mila na kuzizingatia tunajua sana namna ya kutunza mke, sio nyie watoto wa oysterbay@usharobaro.com mnajifanya kuiga mapenzi ya kidhungu kumbe hakuna kitu.
Halafu usivokuwa na adabu unashare matatizo yako na binti yangu Zion Daughter huku unamlalamikia mahabuba wangu mwaJ ambae pia ni mama yake!!??
Hivi Zion Daughter leo ijumaa ya leo hatuwezi kuwa na maongezi bila kuhusisha jukwaa??ni ushahuri siyo mpaka leo tupo hapa pub siunaona Madame B keisha tuacha!!:violin:😛eace:Zion Daughter usifanye hasira,unajua shetani mjanja saana amemtumia KakaKiiza kujiinua......kweli shetani ni mjanja,nimeamini.....:A S-heart-2:
Mwita Maranya afadhali umemjibu! Mie nimechoka kubishana nae. Nia yake kutugombanisha.Ndo hivo tena mkuu mwaJ amejipumzisha hapa kwangu anakula vinono tu. Kwa wale tuliopitia mila na kuzizingatia tunajua sana namna ya kutunza mke, sio nyie watoto wa oysterbay@usharobaro.com mnajifanya kuiga mapenzi ya kidhungu kumbe hakuna kitu.
Halafu usivokuwa na adabu unashare matatizo yako na binti yangu Zion Daughter huku unamlalamikia mahabuba wangu mwaJ ambae pia ni mama yake!!??
Bujibuji kajipange tu mkuu hii vita uliyotaka kuianzisha dhidi yangu ni ngumu sana kuishinda. Jiwe Linaloishi alijaribu lakini akaishia kutokwa manundu kama wewe. Nawashauri mshirikiane kutafuta wanawake wanaofanana na ninyi kwani mama watoto wangu mwaJ si type yenu.Mwita Maranya, nina ghadhabu sana na wewe. Zile ngumi za chembe ulizonisindilia ujue hadi saa hizi zinaniuma.
Huyo mwaJ mwenyewe hana lolote.
Yaani wee poa tu, na mimi ntakuja kukubabatiza na vipande vya matofali, labda usiingie kwenye anga zangu
Wewe Bujibuji acha kunichonganisha na familia yangu. Mwenzio Jiwe Linaloishi alijaribu akashindwa! Sie tunamshikamano wa hali ya juu!
SnowBall hahaaaa haaaaa..... kwa hiyo like umeni nyang'anya au bado ipo??ila tena kwenye red hapo umenikata stimu...lolz
Kwa hiyo unachosema wewe ni kuwa ngono ruksa but isiwe mwanzo mwanzo mwa uchumba..right??
Waingereza wana msemo kuwa..April showers bring forth May flowers....
Wewe Bujibuji acha kunichonganisha na familia yangu. Mwenzio Jiwe Linaloishi alijaribu akashindwa! Sie tunamshikamano wa hali ya juu!
Bujibuji kajipange tu mkuu hii vita uliyotaka kuianzisha dhidi yangu ni ngumu sana kuishinda. Jiwe Linaloishi alijaribu lakini akaishia kutokwa manundu kama wewe. Nawashauri mshirikiane kutafuta wanawake wanaofanana na ninyi kwani mama watoto wangu mwaJ si type yenu.
n lipi na kipi cha kukufanya uunipende wakati sikupi hadi siku ya ndoa