Kwa partners wa kileo kupata mimba ni uzembe kama huhitaji.Kinga zote hizo zipo,natural na artificial.Na ukipata mimba ni mtoto tayari hivyo ni wajibu kuitunza na uzae.Vinginevyo utakuwa ni muuaji.Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didnt plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.
Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
LIZZY ACHA KU-ADVOCATE UTOAJI MIMBA.