Sikumwona mr siku ya valentine day

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.

Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.

Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.
 
wewe si juzi juzi hapa ulikuwa unatafuta mwenza na vigezo ukaweka hapa..mara hii umekuwa na Mr??? aaah kazi kweli ipo...Halafu jukwaaa hili si la mambo haya mama...Huku ni kwa wale tunaotafuta kazi
 
Haaaaa???

Pole dear!!!!

Broken Heart??

Kuwa mpole wanaume ndo walivyo dear ila huku umepost sipo hebu peleka kule MMU
 
wewe si juzi juzi hapa ulikuwa unatafuta mwenza na vigezo ukaweka hapa..mara hii umekuwa na Mr??? aaah kazi kweli ipo...Halafu jukwaaa hili si la mambo haya mama...Huku ni kwa wale tunaotafuta kazi

Sasa si nilitafuta mwenza ili nimpate. sasa kama nilimpata wewe hutaki? mbona unatoa majibu yasiyo na msingi wewe.
 
Labda alimpata Mr humu humu wiki tu akamtenda!!
 
wewe si juzi juzi hapa ulikuwa unatafuta mwenza na vigezo ukaweka hapa..mara hii umekuwa na Mr??? aaah kazi kweli ipo...Halafu jukwaaa hili si la mambo haya mama...Huku ni kwa wale tunaotafuta kazi

Punguza kusoma katikati ya misitari na wewe aahhh unaua mazima namna hiyo?
 
Not Enough nilifikiri hunamatatizo na wivu ktk mambo haya....kwani we mwenye ushatuambia unamtaka mume wa mtu jirani yako.....sasa pengine mumeo ameona hiyo thread naye kaamua aonje nje..
 
wewe si juzi juzi hapa ulikuwa unatafuta mwenza na vigezo ukaweka hapa..mara hii umekuwa na Mr??? aaah kazi kweli ipo...Halafu jukwaaa hili si la mambo haya mama...Huku ni kwa wale tunaotafuta kazi

Mwambie akisusa wenzie wala.......
 
Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.

Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.

Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.

Ha ha haaa, kweli akuanzae mmalize... hivi juzi ulipokuwa unatuma ile post ya kumtaka mume wa jirani yako wakati umeolewa ulikuwa unawaza nini??? Alisemalo mtu ndio linalomtokea, ulitamani kuwa na mume tofauti na huyo ulonae sasa shetani wako amekusikia... kidume kimeona kabla hujachakachuliwa na huyo jirani chenyewe kikachakachue kwanza!!! Ningekuwa nakijua hicho kidume ningekinunulia bia mpaka kiseme basi.. Not enough umekuwa more than enough:coffee::coffee::coffee::coffee:.
 
Sasa si nilitafuta mwenza ili nimpate. sasa kama nilimpata wewe hutaki? mbona unatoa majibu yasiyo na msingi wewe.

ndo tatizo la watoto kuachiwa kompyuta nyumbani wana post kila wanachojisikia..Ukikuwa utaacha utoto wala sikulaumu..Yaani 2 weeks umetoa tangazo umepata then kawa mume..kweli wewe maharage ya mbeya
 
Kwahiyo umeamua kunisaga siyo.
 
Ningekuwa ni mimi ndo nimepost hii thread ningeshakula kona saa nyingi maana madongo yamekuwa mengi kuliko ushauri
 
Si jukwaa la kuchorana...mbona unasema mara una tafuta mchumba mara una mr. na mtoto...Tukueleweje dada....

Kama uliyoyaandika ni kweli basi wastahili adhabu kama hiyo...hakuna jambo mabaya kama kudanganya watu wenye akili.
 
You are not enough that's why u a hubby decided to enjoy valentines day with Ms Enough. Try to be enough my dear
 
Pole sana inawezekana alikwa busy na kazi za msingi. Muulize kwa upole na usiwe na prejudice!
 
kumbe huyu ndo aliyepost anamtaka mume wa jirani? Leo unalia kuachwa solemba? Nadhan alitegemea watu wamesahau ile thread aliyoleta awali.

Kumbe kuna watu wanajivisha mikasa feki?!!
 
Back
Top Bottom