zachariano alexido Senior Member Joined Mar 10, 2026 Posts 167 Reaction score 416 Sunday at 5:50 PM #1 Mwaka juzi na mwaka Jana, hapakua na pakukanyaga, yani ilikua balaa hupiti mpaka upenyeze ila mwaka HUU HATA sarakasi unapiga VIZURI TU je, Watu hawana hela au matamko tata ya viongozi wa dini kupishana mitazamo ya siku husika au ndo basi tu Your browser is not able to display this video.
Mwaka juzi na mwaka Jana, hapakua na pakukanyaga, yani ilikua balaa hupiti mpaka upenyeze ila mwaka HUU HATA sarakasi unapiga VIZURI TU je, Watu hawana hela au matamko tata ya viongozi wa dini kupishana mitazamo ya siku husika au ndo basi tu Your browser is not able to display this video.
chilonge JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 1,637 Reaction score 3,134 Sunday at 6:01 PM #2 Shekeli masta.! Makuta hakuna mfukoni, ni kujipa moyo tu.