Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,189
- 1,324
Mrs. Dagojambo jamii f.
Kwa waislam na wenye kufaham hili naomba mnijuze je sikukuu hii mwaka huu yategemea kuwa tar ngp? Manake wengine wanasema j1 wengine j3 hebu mwenye ufaham tafadhali
Jmosi au jpili
waja leo waondoka leo au sio!
Mrs. Dago
Kutokana na mwezi kuandama na tarehe kuwa sambamba na siku ya Arafat (Hijja)... EIDDI inabidi IWE SIKU YA JUMAMOSI 4th Oct. !!! Lakini Bakwata ina msimamo wake na Taasisi zingine inafuata maamrisho yake.
haijaalisha POKEA MKONO WA Eiddi !! hongera karibu tule nyama....!
hivi ni mapumziko ya siku moja au mbili?
JumapiliJmosi au jpili
Jumapili