jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Assalaam Alaykum. Natumai hamjambo humu ndani. Baada ya salaam, naomba kujua kuhusu hizi sikukuu za kidini kuwa ni nini ambacho huwa kinasherehekewa? Kuna EID EL HAJJ, EID EL FITRI, PASAKA na KRISMASI. Naomba nijuzwe maana sielewi maana kamili kwa kutofautisha. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nikitarajia majibu mema kutoka kwenu.