Sikudhani kama dogo angenikumbuka

Sikudhani kama dogo angenikumbuka

hahaaaaaaa... mshana jr mshana jr hivi mshana jr una kazi ngapi? wewe mlinzi wewe mwalimu wewe askari baba ntilie wewee...duuuuh..
your damn funny

serio maisha ya mjini yanatufundisha mengi, asubuhi mwalimu au mwanasheria mchana doctor au mhasibu jioni fundi au usalama wa kaya, usiku nite shift ya chochote. ni profesa wa maujuzi
 
Last edited by a moderator:
Ungekaa pale,hili jina sijui lingekuwa linatumiwa na nano...r.I.p
 
serio maisha ya mjini yanatufundisha mengi, asubuhi mwalimu au mwanasheria mchana doctor au mhasibu jioni fundi au usalama wa kaya, usiku nite shift ya chochote. ni profesa wa maujuzi

Salute aiseeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom