Sikudhani kama dogo angenikumbuka

Teh teh teh... najaribu kupiga piccha unanyanyuka taratibu then nduki kali...
 
Tichaaaa' mbaya wewe!! Hopes uliachana na hiyo kazi' maana ungeendelea zingekua story nyingine saizi.
 
Kaka nikisoma vituko vyako huwa naenjoy sana. Nikikumbuka na ile ya chupi kuanguka chini daah nacheka sana siku moja nitakualika tupate kinywaji kidogo
Cc: mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Kaka nikisoma vituko vyako huwa naenjoy sana. Nikikumbuka na ile ya chupi kuanguka chini daah nacheka sana siku moja nitakualika tupate kinywaji kidogo
Cc: mshana jr

Mu-sir karibu sana nakunywaga viroba na senator, kick au bingwa, ila sio mlevi
 
Last edited by a moderator:
Tichaaaa' mbaya wewe!! Hopes uliachana na hiyo kazi' maana ungeendelea zingekua story nyingine saizi.

niliikimbia hiyo kazi nikiwa bado naipenda sana kisa chake sitakisumulia
 
hahahahH sema wewe HUKUTAKIWA KUWA MWALIMU BALI MWANAJESHI KIKOSI CHA FARASI

maana nina imgne ulivyowatoka kama kivuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom