sikubaliani kama walimu wana mgomo

Kaisari

JF-Expert Member
Nov 13, 2012
3,637
3,038
Kazi ya mwl " kufundisha kutunga mtihani KUSAHIHISHA na kutoa matokeo"
Utaniambiaje walimu wanamgomo
 
Kwani mgomo ni lazima wabandike tangazo kama wakitaka kugoma kihalali wanazuia na kutishiwa??? Naamini walimu wapo katika mgomo na matokeo haya yatakuwa yamewafurahisha.
 
hio inaitwa go slow,wanafundisha lakini mawazo akili na nguvu zipo kwanye mambo mengine
 
Serikali angalia jambo hili usitafute mchawi kutoka mbali mchawi unaye hapo hapo ulipo kaa. Tazama, walimu waligoma ukawachapa ukasema warudi hataka madarasani vinginevyo utafuta ajira zao, wakaogopa, wakarudi haraka lakini mgomo wao ulibaki mioyoni mwao. Matokeo yake ndio haya. Taka usitake. Wengine wenye akili wakasema mbona huna mtaala rasmi? Kwa mbwembwe na madaha makubwa ukasema " nina mtaala kabambe na rasmi toka kitambo sana wasemao wote wana majungu" anguko hili limekuumbua kumbe huna lolote. Angalia sana ndugu yangu chukua hatua kabla hujachukuliwa hatua .
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom